Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Tuendelee kuitazama tamthilia japo inakera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sabotage ipi tena, ndege zilizokuwa zinang'ang'aniwa nje ya Nchi? Una facts au ni hisia tu?Ni kweli hana mvuto kwa wananchi ila nafikiri ametumia nafasi yake kama Waziri mambo ya nje kusabotage nchi yetu, kwa kifupi ni vurugu tu lkn hana uwezo wowote wa kushinda Uraisi TZ kwanza hata 1/3 ya kura alizopata Lowasa hawezi kufikisha.
EL tuliambiwa anawatu wengi na ni asset
Nani kafukuzwa bwashee?!Kumfukuza mumfukuze wenyewe halafu mnaanza kuweweseka.
Huko CHAUMA sidhani kama mzee midevu atamkaribisha, labda aende kwa kamanda wa anga....afadhali uende hata CHAUMA...
Mkuu yale mambo ya kupita bila kupigwa vipi? Naona utekelezaji rasmi umeanza ndani ya chama. Wagombea wengine mwendo wa note na kadi nyekundu hakuna mechi, ushindi wa mezani.Upo kwa mujibu wa katiba!
Tumia akili Maamuma kuandika kitu.Maamuma mwingine wa CCM huyu hana hoja wala hajui sababu za membe kufukuzwa ,wala hajajua kama ni haki au kaonewa anaropoka tu. CCM mnakazi na hawa vilaza wenu.
Tuchukulia mfano polepole akachukue fomuInategemeana na nguvu ya huyo mtia nia
Hapana, hapa umekosea kidogo! Ulitakiwa useme kuwa wapinzani wanatakiwa wamwamini tu iwapo watamuona ameanzisha chama chakeMembe Kama anapenda siasa aanzishe chama chake.
😂 😂 😂 😂
anarudi lini mama?Tundu Lissu kaenda wapi?
Sasa Mkuu utazuiaje kujisaidia ili hali upo ndotoni!😀😀😀😀 Hapo ni kuomba Mungu yasitokee!