Anithape
Senior Member
- Nov 14, 2018
- 131
- 136
hhhKaomba. Makamba mnafiki nafiki sana. Si wa kumwamini. Kama kasingiziwa akanushe tutoe ushahidi hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hhhKaomba. Makamba mnafiki nafiki sana. Si wa kumwamini. Kama kasingiziwa akanushe tutoe ushahidi hapa.
mkuu kwani idara ni mali ya chama?
Kwa kifupi BM kwishney ! CCM ni taasisi kubwa sana kuweza kutingishwa ba mtu mmoja na kakikundi kake, eti sijui nani, eti ninihii mbobezi ! Ngoja aone hao nanii wabobezi watakavyo lalanae sambamba ! EL aliyepata kura milioni sita 2015 mwenyewe ali surrender 🙌 itakua kidagaa huyu !Si huyo aliyefukuzwa?
Aliyeitwa ahojiwe baada ya mahojiano akatangaza kawaweka walimhoji mfukoni kwa maana ya kuwa amewatosha?
Au membe yupi?
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM imebaki jina tu mnachofanya ni kununua wenye akili timamu toka CDMCCM ni taasisi ambayo haiyumbishwi na mtu au watu,kuwepo/kutokuwepo kwa membe and his colleagues hakukifanyi chama kuyumba,membe and the alike ni kama jani kwenye nyumbani,je likindondoka nyumba itavuja?,CCM ina mifumo imara sio kama CHADEMA ambayo inamuabudu only one person
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana!mr membe kafukuzwa uanachama lini?
Mkuu huu ujumbe unawahusu vyama vya upinzani, kwamba wakiwa pamoja ni wanakuwa wanakula kwa umoja ila kutokana na tamaa waliyo nayo wanaanza kugeukana na kulana wenyewe kwa kuhama vyama huku wanatoboa kila kitu, mikakati na Siri walizokuwa wanapanga.
Ndio inawezekana ila sio Leo Wala kesho.
Na jua litakuwa limezama tayari hatakuwa na chance ya kufanya lolote bali kulala tu.ATASAMEHEWA BAADA YA UCHAGUZI 2020
Mkuu chukulia mfano wa samaki.Akiomba msamaha wakati amekubali kushindwa ningekuwa mimi ni kachero mbobezi ningeondoka na nyama niwe kipande B.
Sent using Jamii Forums mobile app