MR KUO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,678
- 3,818
Kidogo (ACT WAZALENDO).. ila akienda aende kwa mgongo wa kubaki ndani ya ulimwengu wa siasa tu sio kugombea au mapambano ama blah blah hatachelewa kupotea
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidogo (ACT WAZALENDO).. ila akienda aende kwa mgongo wa kubaki ndani ya ulimwengu wa siasa tu sio kugombea au mapambano ama blah blah hatachelewa kupotea
Atasamehewa kama walivyosamehewa wale wengine, na kama ana mambo yake ya ajabu ajabu pembeni ni vyema akae kimya kama mwaka mmoja "aonekane kabadilika tabia" .
Hiyo ni kete kubwa sana wanayoitumia CCM kusamehe waliokuwa wanachama wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tueleze basi ww unayemnua chiefHuumfahamu BKM ww?
Hamna mkolon mweus hata mbowe ni mkolon kunguru mbona sis hatukuongea alipo wafukuza wenzake chedemaKwa akili hizi mkoloni mweusi ataendelea kutawala muda mrefu sana!!
Mkuu hiyo safari kubwa haisababishwi na ccm bali nyie na vyama vyenu kutojielewa. Ccm haina shida iko tayari kuachia madaraka muda wowote ila ikiangalia hakuna chama cha maana kinachoweza kupewa kijiti. Ccm ni taasisi kubwa ndio hata nyie mnajiita taasisi japo hamna vigezo vya kuwa taasisi kabisa.Kiukwel tuna safari kubwa sana kama tunanahitaj kuitoa ccm madarakan
Sio kwa mawazo hafifu haya naona ety mtu anasema ccm n taasisi kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna mkolon mweus hata mbowe ni mkolon kunguru mbona sis hatukuongea alipo wafukuza wenzake chedema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wakulima hatustaafu tunabaki kutoa ideas kwa wakulima wapyakwan TISS ni mali ya ccm, hadi asigombee urais kupitia chama kingine au kupitia hiyo hiyo ccm?
kwani ukiwa TISS huruhusiwi kuwa rais?
"kwa uelewa wangu mimi TISS hakuna kustaafu mpaka ufariki"
Hivi Kinana ana nguvu gani wakati Mwanaharakati mdogo tu anampelekesha mpaka anakuwa confused.....two options.
1.wanazuiwa kufanya siasa for sometime -mpaka uchaguzi upite
2.watasema tumewasamehe lakn mmeonywa
.....hawana uwezo wa kuwafanya nje ya hayo mawili coz wanajua nguvu ya Kinana si ya kitoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzimu wa mwalimu unaishi.
Watu tulishaga Anza kufungia vitumbua azimo la Arusha toka anapumua leo hii tunabebea condom'sMzimu wa mwalimu unaishi.
Kuwa makini boss.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. Mashinji hajahamia CCM kama unavyotaka kutuaminisha bali Karudi CCMEeh katoka Chadema