CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Wale waliosamehewa waligiwa magoti akatumwa mkapa awaombe wasijuzulu uanachama
Atasamehewa kama walivyosamehewa wale wengine, na kama ana mambo yake ya ajabu ajabu pembeni ni vyema akae kimya kama mwaka mmoja "aonekane kabadilika tabia" .

Hiyo ni kete kubwa sana wanayoitumia CCM kusamehe waliokuwa wanachama wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa tafsiri rahisi, CCM ndiko kwenye maisha bora.

CCM ndiko kwenye wizi wote na ufisadi

CCM ndiko kunakoliwa pesa ya watanzania

Hakuna maisha bora bila kuwa CCM

Kwahiyo CCM ndiyo Tanzania?

Ninachojua na kuamini nikwamba Watanzania hatuzijui haki zetu za kikatiba ili kuzilinda hata ikibidi kwa damu.

Itafika siku watatokea watu watakaozijua haki zao, na watasema basi inatosha kuzurumiwa na kutawaliwa kimabavu. HAPO KITANUKA, ni suala la muda tu.
MR KUO,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaogopa hadi kivuli.
Membe kawahiwa mapema asilete vurugu, sasa wote nyweee kupita bila kupingwa.
CHADEMA KAA CHONJO TUSIRUDIE MAKOSA YA LOWASA.
 
Kiukwel tuna safari kubwa sana kama tunanahitaj kuitoa ccm madarakan

Sio kwa mawazo hafifu haya naona ety mtu anasema ccm n taasisi kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo safari kubwa haisababishwi na ccm bali nyie na vyama vyenu kutojielewa. Ccm haina shida iko tayari kuachia madaraka muda wowote ila ikiangalia hakuna chama cha maana kinachoweza kupewa kijiti. Ccm ni taasisi kubwa ndio hata nyie mnajiita taasisi japo hamna vigezo vya kuwa taasisi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....two options.
1.wanazuiwa kufanya siasa for sometime -mpaka uchaguzi upite
2.watasema tumewasamehe lakn mmeonywa

.....hawana uwezo wa kuwafanya nje ya hayo mawili coz wanajua nguvu ya Kinana si ya kitoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Kinana ana nguvu gani wakati Mwanaharakati mdogo tu anampelekesha mpaka anakuwa confused.
 
KARIPIO KALI kwa mujibu wa Polepole, akinukuu katiba ya CCM, ni kwa makosa ya mtu ambae hajaonyesha nia ya kujirekebisha.

Sasa kama hajaonyesha nia ya kujirekebisha unampa karipio ili iweje wakati keshawaambia go screw your rules, sina mpango wa kubadilika!

Katiba ya CCM nonsense!
 
Mtego mwingine kwa wapinzani huu...

Hakuna mtu huwa anaachwa wala kuiacha CCM...
 
Back
Top Bottom