WatakajeKifaifa = Kitaifa.
Katiba hata ibadilishwe kila mwaka haitasaidia kama uelewa wa watu utabakia kuwa huu huu.
Hapana. Katiba Mpya ni takwa la wananchi na wananchi ndio walipa kodi, hivyo kuwapa wananchi kile watakacho haiwezi kuwa kuchezea pesa zao.CCM imekubali katiba mpya, more like CCM imeamua kuchezea hela za walipa kodi tena.
Kama issue ni muungano, Zanzibar wapewe kura ya maoni wasipoutaka uvunjwe huu ndio muda wa kuutazama muungano.
Katiba aina shida inahitaji amendments tu za kupunguza madaraka ya raisi.
Mtu analalamika CAG awezi enforce watu ku implement mapendekezo yake ya audit kumpa nguvu apewe mamlaka ya kikatiba kufanya ivyo; ndio moja ya argument yake ya kudai.
Kazi ya auditor ni ku reinforce mapendekezo kweli, ndio aina ya watu wanaoropoka kudai katiba ata issue za management zinatatuliwa vipi hawajui.
Wanaodai katiba mpya for the most ni waropokaji tu ata ukiwaambia wakutajie aspects za katiba awawezi.
Waste of taxpayers money.
Suppose your right:Hapana. Katiba Mpya ni takwa la wananchi na wananchi ndio walipa kodi, kuqapa wananchi watakacho haiwezi kuwa kuchezea pesa zao.
Hawezi kukujibuSuppose your right:
Orodhesha mambo matano muhimu kwako kwenye katiba mpya.
Ndio aina ya watu wanaodai katiba mpya.Hawezi kukujibu
Baada ya uchaguziHalmashauri Kuu ya CCM iliyoketi Dodoma chini ya Mwenyekiti wake Mh Samia Suluhu Hassan , imekubaliana na kuona Umuhimu wa kuendelea tena na Mchakato wa kupatikana kwa Katiba Mpya , kwa kuzingatia Mahitaji ya sasa KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFA .
Chanzo : MwanaHalisi Digital
Ila CCM ni Wanafiq Jaman, khaaaaKikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekubaliana na umuhimu wa kupatikana katiba mpya kwa kuzingatia mazingira ya sasa hivyo kimeishauri Serikali kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na kukamilisha mchakato wake kwa maslahi mapana ya Taifa na Watanzania wote.
====
1. Maridhiano ya kifaifa.
2. Kufufuliwa kwa mchakato wa Katiba kwa kuzingatia mazingira ya bora ya sasa.
"Chama cha Mapinduzi tunasisitiza umuhimu wa uwepo wa Katiba mpya kwa kuzingatia mazingira ya sasa na kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na kukamilisha mchakato wa katiba mpya kwa masilahi mapana ya taifa na maendeleo kwa ujumla." ameeleza Ndg. Shaka Hamdu Shaka, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ya Taifa - Itikadi na Uenezi wakati akizungumza na wanahabari.
View attachment 2269081
Utakaposhuhudia mradi wa JNHPP ukisuasua - kwa makusudi, vituo vya afya vikikosa watumishi, vitendea kazi na madawa - kwa makusudi ndipo utaelewa katiba bora ina kazi gani.m
mimi sio CCM wala CDM naishi na misimamo yangu, atakayeangukia kwenye misimamo yangu kulingana na fikra zangu wakati huo utaniona niko naye...
Katiba ya zamani imezuia nini Watanzania wasipate umeme wa uhakika na maji safi na salama na Katiba mpya itakuja na uchawi gani watanzania wakavipata hivi kwa haraka?
Hivi wewe hujui kuwa hivyo vyote ulivyovitaja, vinapatikana baada ya kupata Katiba mpya?muda huo na gharama zake tungeutumia kuhakikisha kila kaya inakuwa na maji safi na salama.
Muda huo na gharama zake tungeutumia kuhakikisha kila kaya inapata umeme wa uhakika.
Muda huo na gharama zake tungehakikisha kila wilaya inakuwa na hospitali ya kubwa ya rufaa na vitanda cha kutosha..
Muda huo na gharama zake tungehakikisha pale muhimbiri tunatahini madaktari wa kutosha, mafamasia na manesi wa kutosha kuhakikisha tunapunguza gap la mgonjwa na daktari..
Hivyo navyo bila shaka vinahitaki katiba mpya, Katiba kwa sasa sio tatizo la msingi halipaswa kuwa kipaumbele cha Taifa, nikupoteza muda na rasilimali...
Kwani Sukuma gang ndio waliokuwa hawaitaki katiba mpya ?! Maajabu haya !!
Kweli nimeamini ccm chama kubwa,
Wengi hawataelewa hili
Vyote yawezekana vikafanyika kwa pamojamuda huo na gharama zake tungeutumia kuhakikisha kila kaya inakuwa na maji safi na salama.
Muda huo na gharama zake tungeutumia kuhakikisha kila kaya inapata umeme wa uhakika.
Muda huo na gharama zake tungehakikisha kila wilaya inakuwa na hospitali ya kubwa ya rufaa na vitanda cha kutosha..
Muda huo na gharama zake tungehakikisha pale muhimbiri tunatahini madaktari wa kutosha, mafamasia na manesi wa kutosha kuhakikisha tunapunguza gap la mgonjwa na daktari..
Hivyo navyo bila shaka vinahitaki katiba mpya, Katiba kwa sasa sio tatizo la msingi halipaswa kuwa kipaumbele cha Taifa, nikupoteza muda na rasilimali...