Pre GE2025 CCM yavunja ukimya, yashusha Yutong Bus "Kazi Iendelee" tayari kwa mapambano ya Uchaguzi Mkuu

Pre GE2025 CCM yavunja ukimya, yashusha Yutong Bus "Kazi Iendelee" tayari kwa mapambano ya Uchaguzi Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe mbumbumbu, promotion ya viwanda sio jambo la overnight

Hukuona mama Samia akizindua kiwanda Cha Howo? Ni mom wako alifanya promotion?

Yutong wenyewe Wanaopanga kufungua assembly plant bongo wewe unaongea pumba
....nakukumbusha CCM inawenyewe, povu lisiwe jingi!!
 
Hapo lazima nikamate Usukani wa Moja.kwa hakika watakao kuwa wanapanda lile ninaloendesha mimi watakuwa muda wote wanabubujikwa na machozi ya furaha kwa raha watakazokuwa wanapata ndani ya gari. Mziki kwa mbali ,mwendo safi.
😄 🤣 ndugu kububujikwa, haya mabasi ni haya haya tunayopandaga kwenda mikoani,

Ndio haya haya ma kina tilisho, mghamba, kilimanjaro, dar express ila tu yanakua yamebandikwa stika hivyo tilisho hawezi kukupa gari yake uendeshe, ukikodi gari unakodi na dereva wake.

Jiulize yale ma v8 ya kijani baada ya uchaguzi huwa yanaenda wapi?

Ni haya haya tunayopishana nayo barabarani kila siku
 
Kazi iendelee.....ccm mbele kwa mbele.
Chama dume, chama cha uhakika.
 
Wezi wa kura na madalali wa rasilimali za nchi kazini
Ama kweli baiskeli ikikuwa inakuwa toyo na malori yakikuwa yana kuwa youtong hapa tutapona kupanda malori kwenda kwenye kampeni.
 
Ndiyo raia tunashangaa! Pamoja na nyenzo zote hizo bado CCM haijiamini kwenye Sanduku la Kura! Lazima iibe kura.
 
Huu upuuzi wakati watu wanasumbuka na Usafiri wa kila siku hao hao majambazi ambao wangehakikisha usafiri unakuwa affordable na kila mahali (mwendokasi / SGR) kwa bei nafuu inazidi kuonyesha uzumbukuku kwamba inawezekana kuleta mabasi mengi (ila mabasi hayo yanaletwa ili waweze kupata kura waendelee kula)


Ila ndio hivyo dawa ni kuwapiga wote chini
 
Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu yanazidi kupamba moto huku Vyama vikijipanga Kila kimoja Kwa staili yake.

CCM imeanza Kwa kushusha vyuma "Mabasi ya Youtong Upgrade piruuu tayari kukiwasha.

Swali.
Wale wengine akitoka mwamba ambae Huwa anawakodia helikopta watatumia nini?
Choice umekabidiwa ipi uikokote angalao nije kugongea lift.
 
Back
Top Bottom