Cctv video: Kuweni makini mnapokuwa mnarudi majumbani usiku, Anusurika kuvamiwa na majambazi Getini

Hivi hakuna teknolojia ya ku zoom mpaka kubaini Muhusika.

Ukiwapata wanawekwa Chemba mahali kwanza ulifikiria cha kuwafanya wewe Mwenyewe maana Polisi mlolongo sana.Utakachowafanya unahakikisha kama ni mauti basi wao ndio watafikia hatua kukuomba kwamba "imetosha tuue tu".
 
Kwa jinsi inavyoonekana walishapanga kumvamia na walikuwa mahala wanamsubiri...
Kingine huyo mmoja hadi kuingia ndani ina maana tayari anafahamu hakuna ulinzi wowote... iwe mbwa, mlinzi n.k
Kuna wezi wanafanya research kabla ya tukio, tukio linaweza kutokea leo lakini wametumia wiki nzima kuchunguza mazingira na hata kununua taarifa muhimu kwa watu wa karibu na eneo la tukio.
 
Hao wakidakagwa utasikia Chadema wanasema katibu wao wa tawi katekwa na wasiojulikana wakati kiukweli ni wahalifu tu. Sikuhizi wahalifu wengi wamejificha kwenye kichaga cha Chadema
 
Kuna bibi kizee Dar Es Salaam alivamiwa pia na majambazi, wale majambazi walikuwa na bunduki, kumbe bibi ana bastola, bibi yupo juu ya ghorofa akawa anawatupia risasi kwa chini, alimuua mmoja... ilibidi wakimbie...

Kale kabibi sijui kalipita jkt? maana kanakwambia "nilikua napiga risasi halafu nina reload, huku nawapigia wanangu na askari simu..." nikasema huyu bibi ku reload kajulia wapi.. 😂 .. kuna vizee ni vitata... balaa..
 
Kuna wezi wanafanya research kabla ya tukio, tukio linaweza kutokea leo lakini wametumia wiki nzima kuchunguza mazingira na hata kununua taarifa muhimu kwa watu wa karibu na eneo la tukio.
Iko hivyo kwenye story vijiweni info zinzauzwa chap.
“ oya gari la mshkaji gani lile?”
“Ni demu mbona ananitumaga kumfanyia shopping pia”
“Mwanawe atakuwa yuko vizuri”
“Hamna mzee yule yuko single”
“Ndiyo anaishi kwenye ule mjengo pekee yake , duh!!!”
“Ndiyo hivyo, pale ndani kuna nyumba mbili ila si unakumbuka wale wa kina fred walihama na mpangaji hajapatikana bado, kwa hiyo kiufupi pako wazi, mtoto yuko mwenyewe kwenye ule mcompound”
“Dah noma mzee”
“Ha ha ha, nakubali”
 
Angekuwa na ujasiri ang

Wakati anatoka angeigonga pikipik ili washindwe kukimbia
 
Duh
Hao wakidakagwa utasikia Chadema wanasema katibu wao wa tawi katekwa na wasiojulikana wakati kiukweli ni wahalifu tu. Sikuhizi wahalifu wengi wamejificha kwenye kichaga cha Chadema
 
Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…