Cctv video: Kuweni makini mnapokuwa mnarudi majumbani usiku, Anusurika kuvamiwa na majambazi Getini

Cctv video: Kuweni makini mnapokuwa mnarudi majumbani usiku, Anusurika kuvamiwa na majambazi Getini

Watu kama hao ni wa kuua tu tena kifo kibaya kama kuwapiga moto
 
Kuna bibi kizee Dar Es Salaam alivamiwa pia na majambazi, wale majambazi walikuwa na bunduki, kumbe bibi ana bastola, bibi yupo juu ya ghorofa akawa anawatupia risasi kwa chini, alimuua mmoja... ilibidi wakimbie...

Kale kabibi sijui kalipita jkt? maana kanakwambia "nilikua napiga risasi halafu nina reload, huku nawapigia wanangu na askari simu..." nikasema huyu bibi ku reload kajulia wapi.. 😂 .. kuna vizee ni vitata... balaa..
Halafu kuna watu humu JF wanapinga watoto kwenda JKT.
 
Back
Top Bottom