#COVID19 CDC imeshauri watu kuachana na chanjo ya J&J kwani inasababisha kuganda kwa damu kwenye ubongo, watumie Moderna ama Pfizer

Pfizer ni kama GSM anataka kukabankila konaπŸ˜†
Your browser is not able to display this video.
 
Sio wenye bahati mbaya ila ni kawaida kwa watu kufa kwa magonjwa, hakuna ugonjw usioua ila kwanini korona inaimbwa sana
 
Lakini statits ni hivi. Hakuna uhakika wa 100% damu kuganda wote 50 ni kwasababu ya chanjo. Hivyo bado data za vifo ni ndogo sana

1. Waliochanjwa marekani 15 M
2. Damu kuganda 50
3. Vifo 9
Kachanje wewe. Data zako kaa nazo
 
Na hapo ukiona wanashauri hivyo kwamba J&J haifai ujue data halisi ni mbaya sana.

Hawa jamaa wamejipanga kuanzia boardroom hadi newsroom maana habari pekee zinazoruhusiwa kwenda public ni zile za pro-vaccination tu. Hata wakati huu ambapo zaidi ya asilimia 70 wamechanja lakini corona wanapata, simulizi yao inabaki vile vile kama ilivyoamriwa na walioshikilia remote: chanjo ndio mwarobaini wa corona, wasiochanja ni mara nane zaidi ya waliochanja linapokuja swala la corona, dunia itakuwa salama iwapo wote tutachanjwa.

So tunapoona habari hizi chache zisizokuwa favorable kwa chanjo ujue ukweli uliopo nyuma ya pazia ni hatari zaidi.
 
Yupo wapi yule mjambiani na kijambi* chake
 
Unaizungumzia katavi ipi? Njoo kesho hospital hapa nikupeleke kwa wagonjwa wa uviko
 
JJ inasababisha kuganda kwa damu
Alaf eti atakaye taka anaweza akachanja duuh ss kwann wasiitoe kabisa kama madhara yake yanajulikana 🀨🀨🀨
 
ndio maana siku hz za karbuni,Kuna watu hasa wa pale mjengoni ,siwaelewi elewi,kumbe tatzo nahs ndo hili ,ugandaji umeshaanza tayari!
 
Unaizungumzia katavi ipi? Njoo kesho hospital hapa nikupeleke kwa wagonjwa wa uviko
Hao wagonjwa ambao wanaumwa magonjwa mengine alafu nyie mnawageuza eti ni uviko ili kutengeneza takwimu,mtaani hakuna hicho kitu kabisa na wala raia hatujui kama kuna huo ugonjwa.

Acheni ujanja ujanja na kutukuza magonjwa yakutengenezwa na bado kuna series kibao za virusi hawajaachia
 
Na ndio maana hii kitu inatakiwa iwe ni hiyari. Tayari ianonyesha muelekeo usio mzuri kama hizi taarifa/data ni reliable.
 
Sisi wengine huwa hatuamini kila habari ya mitandaoni maana nyingi ni fake news, umemsikia nani aliyechanjwa hapa Tanzania ameganda damu ??? Acheni kutisha watu, Mimi nasubiri ije na booster jab nikachanje tena,
Wapo mkuu, mimi nawajua kama wawili walikua vizuri, ila ndani ya wiki tuu baada ya kuchanja wakaondoka
 
πŸ˜‚πŸ˜‚,bahati nzuri tulipewa mzigo ulio-expire tayari
 
Endelea kujipa moyo ,Kama ulichanja j&j andaa akili,mwili na roho yako

Hizi ndiyo data za hao hao waliotoa Habari. Tatizo ukieleza kitu toa picha kamili. Na Vilevile damu kuganda inatokea muda mfupi baada ya chanjo yaani huwezi damu haiwezi kuganda baada ya miezi mitatu πŸ˜‚.
 
Uwe
Sisi wengine huwa hatuamini kila habari ya mitandaoni maana nyingi ni fake news, umemsikia nani aliyechanjwa hapa Tanzania ameganda damu ??? Acheni kutisha watu, Mimi nasubiri ije na booster jab nikachanje tena,
Unasoma sources za habari, sio kila habari ya mtandaoni ni fake news.

Hii sio fake news, jiandae kuganda ubongo.

Waliotengeneza chanjo washasema haifai wewe unajifariji eti fake news, tulia subiri tu damu igande.
 
Unaizungumzia katavi ipi? Njoo kesho hospital hapa nikupeleke kwa wagonjwa wa uviko
Hapo sasa !! Ndio maana huwa naamini habari nyingi sana hivi sasa ni fake news !! Kumbe huyo hata Hospital ya Katavi hajafika !! Duh ! Hatari kabisa !
 
Uwe

Unasoma sources za habari, sio kila habari ya mtandaoni ni fake news.

Hii sio fake news, jiandae kuganda ubongo.

Waliotengeneza chanjo washasema haifai wewe unajifariji eti fake news, tulia subiri tu damu igande.
Nasoma sourse za habari nyingi sana na nnafanya observations sana tu ndio maana naamini chanjo hizi hazina madhara makubwa kama wanavyodai wenye kueneza fake news !!
 
Ndio maana nimekuwa slow sana kufanya maamuzi baada ya kuchoma J&J
Duh kwa hiyo wanatusaidiaje.... Maana sisi tunawategemea wao... Wasitufanyie hivyo

Huu ndio unyama sasa
Mkuu, umenigusa, hata mimi nimeifeel hiyo hali sana. Na baadhi ya project zangu haziendi vizuri !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…