Cecil Mwambe ashindwa vibaya uchaguzi Kanda ya Kusini

Na hawa wahuni wa CHADEMA ukiwauliza usaliti wa Mwambe hawajui watabaki kukshambulia. Najichukia sana kuwapigia kura 2010, 2015 hawa wahuni walamba viatu vya mbowe.
Anaekosoa chadema wanamuita CCM...ila anaeitukana ccm ni kamanda. WF.


Ngoja Magufuli aendelee kututawala mpaka pale tutakapozinduka na kua na chama imara.
 
Paragraph ya mwisho sijapendezwa nayo kuandikwa kutoka kwako wewe! Nadhani utakuwa umenielewa, acha hayo tuongee sisi
Siyo lazima kila mstari utaoandikwa ukufurahishe kuna dawa ni tamu na nyingine chachu kikubwa upone
 
Kwa bahati mbaya hata aliyeshinda alikua ccm na alihamia cdm siku moja na Mwambe.
 
Kachukue uenyekiti wa Mh Magufuli tusipotezeane mida
 

Huo utetezi wa kwamba cdm inamuhitaji sana Mbowe wakati huu hata hauniingii akilini, akifa kesho basi jumanne asubuhi chama kinakufa? Siko na ccm kabisa kuhusu nafasi ya Mbowe, huenda ccm wanataka Mbowe aondoke kwa sababu zao, na mimi nina sababu zangu hata kama wote tumetaka hilo sasa. Mbowe ajilaumu mwenyewe kushindwa kuandaa succesion plan, kwani alipaswa kujua hiyo ni taasisi. Chama kinachomtegemea mtu mmoja kuwaongoza na sio mifumo ya uongozi, hicho sio chama bali kundi la wajanja linalofanya siasa. Naamini kwenye cdm taasisi na sio kwa cdm mtu.
 
Ukiona wana watu wao na wewe chagua wako ngoma iwe droo kila mtu ashinde mechi zake
Unaweka mno ushabiki. Hata kama hamumtaki sio lazima mseme. Hamkisaidii hiki chama badala yake mnazidisha makundi na kuzidisha uhasama. Kama mna watu wenu mngewateua tu kama wenyeviti wa mtaa wa ccm ijulikane moja
 
Wewe mwenyewe haujipendi utawezaje kuipenda CHADEMA?kaendelee kutumia vidonge vyako vya kupunguza ukichaa
 

Figisu gani, kuna box lolote la kura limetolewa ndani ya chumba cha kupigia kura? Kuna machafuko yoyote yametokea wakati wa upigaji kura? Sumaye kashindwa kihalali na kidemokrasia, akae pembeni kiroho safi. Hakuna anayekunyima kuamini maneno ya Sumaye, ila ukweli ni kuwa Sumaye alizoea siasa za mbeleko za kupita bila kupingwa. Kama alihonga ili abaki mwenyewe kisha apite bila kupingwa, basi ameingizwa mjini. Arudi ccm haraka kwenye siasa za mbeleko na figisu za kishenzi.
 
Kwa bahati mbaya hata aliyeshinda alikua ccm na alihamia cdm siku moja na Mwambe.

Ila wangalau ana msimamo na tuliona hata alipofanyiwa figisu na Nape bado alisimama imara. Na kashafanyiwa majaribio mengi ya kwenda kuunga juhudi lakini kagoma. Huyo Mwambe kapigiwa promo la wazi na Magufuli unategemea nini? Hapo wote ni mashetani lakini kachaguliwa shetani mwenye afadhali.
 
Vip mwenyekiti wenu ambae amekaa 15yrs?
 

Kama ulikuwa unaona kura yako ni kubwa kama nyumba ungeingia ukae humo ndani, na safari hii usiwape tena hao cdm. Kampe Magufuli ili asilazimishe kupita bila kupingwa, hamna mtu anahitaji kura ya mnafiki yoyote. Usisubiri cdm izinduke, anzisha chama chako mkae mnaojitambua, na ili kuonyesha mnajitambua, kura zenu mpeni mgombea wa ccm.
 
Kwa sasa kumlaumu mbowe ni kumuonea, Leo mbowe kasema yeyote anayejisikia kuchukua fomu ya nafasi yoyote achukue, wanachadema wataamua.kosa LA mbowe ni nini
 
Kwa sasa kumlaumu mbowe ni kumuonea, Leo mbowe kasema yeyote anayejisikia kuchukua fomu ya nafasi yoyote achukue, wanachadema wataamua.kosa LA mbowe ni nini

Alipaswa kuacha nafsi hiyo wazi kwa mwanacdm halisi. Nijuavyo mimi watu hushawishiwa kuchukua nafasi, na watu hao wapo ndani ya cdm. 2010 Slaa hakuwa amejiandaa kugombea urais, bali alishawishiwa. Hata sasa hilo lilipaswa kufanyika.
 
..cdm mnatakiwa mvumiliane.

..ushindani ktk uchaguzi isichukuliwe kuwa ni uadui.

..siyo vibaya kushangilia ushindi, lakini pia mhakikishe wale wanaoshindwa mnawa-embrace na kuwatia moyo.
Watiwe moyo upi. Kwani hawajui katika ushindani Kuna kushinda na kushindwa!!? Kama vipi waishie, Chadema ni imara kama Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…