Cecil Mwambe ashindwa vibaya uchaguzi Kanda ya Kusini

..cdm mnatakiwa mvumiliane.

..ushindani ktk uchaguzi isichukuliwe kuwa ni uadui.

..siyo vibaya kushangilia ushindi, lakini pia mhakikishe wale wanaoshindwa mnawa-embrace na kuwatia moyo.
Akwende zake CCM hatutaki Ujinga...imagine mtu anasema Agenda yake ya kutaka kuwa Mwenyekiti ni ili afanye kazi karibu na Magufuli/CCM...watu Wale wale waliotaka kumwua Lissu kweli? HAPANA Mazee, arudi tu CCM watampa Ubunge wampe na Uwaziri ikiwapendeza!
 
Waswahili wengi waanmini Taasisi imara zinajengwa kwa muda mfupi hawataki kuamini hasa hizi taasisi za kisiasa huku Africa chama kinachotawala kinaamini kina hatimiliki ya Nchi na watu wake...Cdm imekumbwa na inaendelea kukumbwa na dhoruba Kali sababu mbinu nyingi za kuiua zimeshindikana unaweza kuacha kujadili vyama vyote Ila usiiache Cuf ukowapi leo! so povu za watawala kwa Mbowe nisababu wamekosa bei yake nawashauri waunga mageuzi wote wasijiingize kwenye mkumbo wa gambaz unamlalamikia Mbowe aliekaa madarakani miaka 15 Ila hulalamiki cccm kutawala tangu Uhuru mpaka sasa nadhani tuwasamehe tu iko siku wataelewa vyama vya upinza vinamamluki wengi yaani leo Mwenyekiti angekuwa Waitara unaweza kuelewa nini kingetokea Mbowe ni MTU makini ataiacha Chadema kwenye mikono salama ni habari ya muda tu
Tukiruhusu kila mtu na aje na sababu Zake za kutaka mbowe aachie kiti kama fikra za maji machafu, basi chadema kitakufa asubuhi tu, embu itoshe tu wewe kuwa mtazamaji mengine waachie wenyewe, ww kachukue buku7 yako.
 

Mimi sio msemaji wa cdm hivyo huwezi kuniuliza niwasemee, yuko msemaji atalisemea hilo. Ila kwangu siungi mkono kiongozi yoyote yule kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi, iwe Mbowe au Magufuli. Na msimamo wangu huo uko wazi, hata nikiwa mwenyewe sina shaka na huo msimamo wangu.
 

Huna lolote ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Lissu hahitaji kuwa mzalendo wa nchi hii kwa kijikomba kwa rais na speaker. Kama uzalendo ni kujikomba kwa viongozi baki nao ww na watu wa kijiji chenu.
 
Umemaliza kila kitu mkuu.Ubarikiwe sana
 
Wewe unafanyia kazi CCM nani asiyekujua?
 
Wewe ni CCM mfamaji.Pole sana.Mbowe ataendelea kuchaguliwa hata mkienda kuwanga
 
Blah Blah.Kunywa maji upumzike kijana
 
Kwa sasa kumlaumu mbowe ni kumuonea, Leo mbowe kasema yeyote anayejisikia kuchukua fomu ya nafasi yoyote achukue, wanachadema wataamua.kosa LA mbowe ni nini
Hawajitambui hao.Mbowe hajichagui bali anachaguliwa
 
Hivi kumbe Chadema kuna wasaliti eeeh??! Ndiyo maana chama hiki Mungu ameshasema hawezi kukipatia nchi ya Tanzania kitawale!! Nimeelewa sasa!!
Mungu yupi? Mungu wa Baali?
 

..lini alisema hivyo?

..hebu tuwekee video clip tujiridhishe.
 
Ujamsikimia mwenyekiti ameshauri kinafiki kulinda nafasi yake asiwe na threat?

Katoa suggestion na wala sio shuruti mkuu!

Na huo unafiki umeona kupitia lens ya miwani yako!

Mimi lens yangu sioni

Ni perspective tu!
 
..cdm mnatakiwa mvumiliane.

..ushindani ktk uchaguzi isichukuliwe kuwa ni uadui.

..siyo vibaya kushangilia ushindi, lakini pia mhakikishe wale wanaoshindwa mnawa-embrace na kuwatia moyo.
Ushauri muafaka kwa ukuaji wa demokrasia nchini mwetu.
Ushauri huu ni muhimu zaidi kwa CCM ambao mtu akihisiwa tu kuwa anataka kuchukua fomu kushindana na Magufuli, anageuzwa kuwa msaliti na kibaraka wa mabeberu.
Wana CCM ni muhimu wajifunze kuvumiliana na kupendana.
Tanzania ni zaidi ya vyama.
Tanzania ni zaidi ya CCM!
Tanzania ni zaidi ya CHADEMA!
 
Wewe unafanyia kazi CCM nani asiyekujua?

Sijitetei kwako wala sina sina sababu kujitetea, sijawahi kuikubali ccm hao chama cha maibilisi kwa lolote na sintoikubali, ila kuwa muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umefikia kikomo, hilo wala sina shaka nalo. Na katika hili sintoyumba, kama ambavyo sikuyumba kwa lile zee la ccm mlilolilia hela zake mkalipa nafasi ya kugombea urais.
 
Kamanda huyo Mathew Alitoka wapi?
 
Kwa bahati mbaya hata aliyeshinda alikua ccm na alihamia cdm siku moja na Mwambe.
Hahahahahah, hawa makamanda ukitaka kukalia kiti cha Kim Jon Un Mbowe tu unakua pandikizi na msaliti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…