Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

Hakuna asiyejua hayo.kitendo cha kudharau chama chake kilichomdhamini ubunge kisa kashutumiwa Na halima sio uungwana.mwambe busara zero.hayo angeyafanya ccm angeshawekwa kitimoto.
 
aende tu Ni maamuzi yake....na hiyo ndo Rangi yake toka Zamani
 
kama ndo uyu alitaka kuwa Kamanda Mkuu wa Upinzani...asingeweza

na hakika angekiua chama mapema sana

bahati mzuri hana tena mkia



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu, ungesoma kwa umakini na mtiririko usingefikia kunivisha huo u CCM.Sijawahi kuwa huko. AMEN

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu. Nimesoma hadi mwisho na nikatoka na hitimisho hilo.
Lkn kumbe sio wa CCM.

Unaonaje alichokifanya mwenyekiti wa CCM kwa akina January hadi kuomba samahani?
Ubarikiwe sana
 
Yaaani kwa intelijensia ya CDM huyo jamaa alikuwa na dalili za kurejea ccm toka kitambo!
Kapata sababu ati!
 
Kwahiyo ushauri wako ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana impact yoyote ndani ya cdm.
Mwache arudi kwao maana kamabale daima hawezi kusahau majini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…