Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe

hivi musukuma na kibajaji na wenyewe huwa wanasali, si watengwe kabisa wakaabudu mizimo huko.
 
Intergovernmental "Agreement"(IGA)

Host Government "Agreement" (HGA)

Agreement ipi ni "Mkataba" na ipi ni "makubaliano"😂😂😂

Kwa elimu ya kawaida hapo kweli ni shida...Wale wa "law school"wanalijua hilo💪🇹🇿👍
 
Huyu ni mmoja tu aliyethubutu kusema ukweli anaoufahamu. Bila shaka kuna wengi wenye mawazo kama yake ambao wako kimya kutokana na hofu tu. Kupitisha kwa Bunge kulikofanyika ni kwa mazingira tu.
Yamkini pia wameona kupokelewa Kwa waraka nchini Leo na jinsi Kwa namna binafsi niwapongeze Mwananchi Newspaper hasa mwananchi Digital wamesambaa Nchi nzima maparokiani! Sasa tutaenda kaya Kwa kaya baada ya kumaliza Jumuiya Kwa Jumuiya. Kutubu Kwa Mbunge ni kuhofia nafasi yake ya kisiasa 2025 DP ITAKAPOTUMIKA KAMA AGENDA
 
Haya sasa. Mwisho wa siku mkataba utabakia kuwa wa Saa100 tu.

View attachment 2722630
Imebakia Musukuma na kibajaji waje watueleze, wao waliuosoma? Lugha iliyoandikwa mule waliielewa? Mwenzao kaja hadharani na sasa mambo ni wazi, hawakuelewa, maneno ya Wakili Msomi mwabukusi yametimia, " waliidhinish klitu wasicho kijua" kwa maneno yao wenyewe.
 
Mbunge wa Bunda Mh.Robert Mabotto akiri mbele ya kanisa leo Mbele ya Padri baada ya padri kumaliza kusoma Waraka wa TEC kuwa hakuelewa chochote kuhusu mkataba huo kwani lugha iliyotumika ilikuwa Ni ngumu kwake kuielewa hivyo alipiga tu kura kutimiza wajibu wake...
Mbali na hilo amechukua nafasi hiyo kuomba radhi kwa Padri na waumini wote kanisani kwa kushindwa kuwawakilisha vyema kwa kutokujua kilichoandikwa

Kipande cha Video hapa chini angalia....
 
View attachment 2723007
Nani alikwambia kuwa wabunge wa ccm huwa wanaelewaga mikataba?
 
Mbunge wa Bunda Mh.Robert Mabotto akiri mbele ya kanisa leo Mbele ya Padri baada ya padri kumaliza kusoma Waraka wa TEC kuwa hakuelewa chochote kuhusu mkataba huo kwani lugha iliyotumika ilikuwa Ni ngumu kwake kuielewa hivyo alipiga tu kura kutimiza wajibu wake...
Mbali na hilo amechukua nafasi hiyo kuomba radhi kwa Padri na waumini wote kanisani kwa kushindwa kuwawakilisha vyema kwa kutokujua kilichoandikwa

Kipande cha Video hapa chini angalia....
View attachment 2723007
Amelazimika ya Kaizari ampe Kaizari, na pia ya Mungu ampe Mungu.
 
Back
Top Bottom