Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hii sindano imepenya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sindano imepenya
Hakyanani mtasikia mengi san 🤣🤣🤣 kibaya zaid kwa wabunge uchaguzi huoooo!! Masikini hawaelewi walale ndani au nje 🤣🤣🤣
next time ,katiba mpya itamke baya kuwa ili ugombee ubunge lazima uwe na degree angalau moja
Mbona kuna chupa yenye bia ndani yake, kanisa linahusika na bia?
Yamkini pia wameona kupokelewa Kwa waraka nchini Leo na jinsi Kwa namna binafsi niwapongeze Mwananchi Newspaper hasa mwananchi Digital wamesambaa Nchi nzima maparokiani! Sasa tutaenda kaya Kwa kaya baada ya kumaliza Jumuiya Kwa Jumuiya. Kutubu Kwa Mbunge ni kuhofia nafasi yake ya kisiasa 2025 DP ITAKAPOTUMIKA KAMA AGENDAHuyu ni mmoja tu aliyethubutu kusema ukweli anaoufahamu. Bila shaka kuna wengi wenye mawazo kama yake ambao wako kimya kutokana na hofu tu. Kupitisha kwa Bunge kulikofanyika ni kwa mazingira tu.
Asante sanaYes hawakatazi ila kunywa usiwe msumbufu kwa wengine
Ohooool!!!nyani wameanza kutema bungo
Tutaongea kwa lugha moja.Tunaelekea pazuri mnooo kama taifa. Asante.
Imebakia Musukuma na kibajaji waje watueleze, wao waliuosoma? Lugha iliyoandikwa mule waliielewa? Mwenzao kaja hadharani na sasa mambo ni wazi, hawakuelewa, maneno ya Wakili Msomi mwabukusi yametimia, " waliidhinish klitu wasicho kijua" kwa maneno yao wenyewe.
Nani alikwambia kuwa wabunge wa ccm huwa wanaelewaga mikataba?Mbunge wa Bunda Mh.Robert Mabotto akiri mbele ya kanisa leo Mbele ya Padri baada ya padri kumaliza kusoma Waraka wa TEC kuwa hakuelewa chochote kuhusu mkataba huo kwani lugha iliyotumika ilikuwa Ni ngumu kwake kuielewa hivyo alipiga tu kura kutimiza wajibu wake...
Mbali na hilo amechukua nafasi hiyo kuomba radhi kwa Padri na waumini wote kanisani kwa kushindwa kuwawakilisha vyema kwa kutokujua kilichoandikwa
Kipande cha Video hapa chini angalia....
View attachment 2723007
Amelazimika ya Kaizari ampe Kaizari, na pia ya Mungu ampe Mungu.Mbunge wa Bunda Mh.Robert Mabotto akiri mbele ya kanisa leo Mbele ya Padri baada ya padri kumaliza kusoma Waraka wa TEC kuwa hakuelewa chochote kuhusu mkataba huo kwani lugha iliyotumika ilikuwa Ni ngumu kwake kuielewa hivyo alipiga tu kura kutimiza wajibu wake...
Mbali na hilo amechukua nafasi hiyo kuomba radhi kwa Padri na waumini wote kanisani kwa kushindwa kuwawakilisha vyema kwa kutokujua kilichoandikwa
Kipande cha Video hapa chini angalia....
View attachment 2723007
Kwahyo unamaanishs wanayopigia kura mingi hawaielewi 😁😁Nani alikwambia kuwa wabunge wa ccm huwa wanaelewaga mikataba?
Wabunge wa ccm hawajawahi kuwa na ueledi wa mambo yanayohitaji kutumia akiliNgoja Waarabu wetu waje kumshutumu huyo mbunge Kilaza wa ccm
Lakini amekiri kutokujua kilichoandikwa na kama yeye kakiri bhasi huenda wapo wengi ambao hawakuelewa pia WASAMEHEWEAmelazimika ya Kaizari ampe Kaizari, na pia ya Mungu ampe Mungu.