ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Kama hana wapo wale wa bungeni, siyo muhimu.Mbunge anatakiwa awe na staffs wake na wanasheria wake mwenyewe binafsi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hana wapo wale wa bungeni, siyo muhimu.Mbunge anatakiwa awe na staffs wake na wanasheria wake mwenyewe binafsi.
He's entitled to his fu.cking opinion lkn afunge domo lake kama kipindi cha Magu asitufundishe anything kuhusu amani. You dig?.Acha chuki wewe dhini ya wastaafu au umerukwa na akili
Kwanini afunge?He's entitled to his fu.cking opinion lkn afunge domo lake kama kipindi cha Magu asitufundishe anything kuhusu amani. You dig?.
Akiwemo sura mbaya kama nyani Tulia A MHuyu ni mmoja tu aliyethubutu kusema ukweli anaoufahamu. Bila shaka kuna wengi wenye mawazo kama yake ambao wako kimya kutokana na hofu tu. Kupitisha kwa Bunge kulikofanyika ni kwa mazingira tu.
Mimi simlaumu maana kigezo ni KKK
So, kosa sio lake ila la utaratibu wa upatikanaji wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa bungeni pamoja na katibu wa bunge wanafanya kazi kwa maslahi ya mhimili wa serikali zaidi. Hao ni mkono wa serikali ndani ya bunge.Kama hana wapo wale wa bungeni, siyo muhimu.
Sawa MkuuTec kama wana mtandao mkubwa basi watusaidie tupate KATIBA MPYA waache hizi mbwembwe
Ndugu kwenye mkataba lugha ni ya kisheria kwa aslimia kubwa unaweza ukasoma na usieleweBora kukaa kimya, anajiabisha zaidi, unagombeaje ubunge kama lugha rasmi hujui?
Kwani wewe hujawahi kukosea?Sikubaliani naye! Huo ni ujinga tu utawezaje kukubali swala ambalo hulielewi vizuri?
Pili kwani angekataa ni nani angemlaumu?
Tatu alishindwa nini kuomba ufafanuzi kwanza ndipo aeleweshwe?
Nina uhakika ni mengi amepitisha kwa utaratibu huu.Angeomba tu awajibike kwa hili.
Mbunge wa hovyo kabisa unakubalije kupitisha kitu bila kukielewa?Kwani wewe hujawahi kukosea?
Na je, kila ulipokisea uliwajibika au kuwajibishwa?!
ilibid mkataba uingizwe mtaan , madiwan waongee na wananchi hlf wapeleke maoni ndipo bunge lipitie kipengelee kwa kipengele , Rais kwenye hili kam haki ikifuatwa inabid ajiuzulu tu , kaharibu sanaHuo ndio ukweli wa mambo yalivyoendeshwa Bungeni. Muswada unawasilishwa na wabunge kuambiwa uamuzi utafanyika ndani ya saa 24. Halafu tunakuja kuambiwa "Bunge limeidhinisha". Kulikuwa na uharaka gani?
Tumsamehe tu Mkuu.Mbunge wa hovyo kabisa unakubalije kupitisha kitu bila kukielewa?