Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe

Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe

Huyu ni Mbunge wa Bunda Robert Mabotto anasema hakuelewa lugha iliyoandikwa kwenye Mkataba wa DP WORLD, hivyo aliamua kuunga mkono tu bila kujua mkataba unasema nini. ANAOMBA WATANZANIA TUMSAMEHE
 
Attachments

  • 1692543352370.mp4
    1.2 MB
Sikubaliani naye! Huo ni ujinga tu utawezaje kukubali swala ambalo hulielewi vizuri?
Pili kwani angekataa ni nani angemlaumu?
Tatu alishindwa nini kuomba ufafanuzi kwanza ndipo aeleweshwe?
Nina uhakika ni mengi amepitisha kwa utaratibu huu.Angeomba tu awajibike kwa hili.
 
Kwani wewe hujawahi kukosea?
Na je, kila ulipokisea uliwajibika au kuwajibishwa?!
 
Huo ndio ukweli wa mambo yalivyoendeshwa Bungeni. Muswada unawasilishwa na wabunge kuambiwa uamuzi utafanyika ndani ya saa 24. Halafu tunakuja kuambiwa "Bunge limeidhinisha". Kulikuwa na uharaka gani?
ilibid mkataba uingizwe mtaan , madiwan waongee na wananchi hlf wapeleke maoni ndipo bunge lipitie kipengelee kwa kipengele , Rais kwenye hili kam haki ikifuatwa inabid ajiuzulu tu , kaharibu sana
 
Mbunge wa hovyo kabisa unakubalije kupitisha kitu bila kukielewa?
Tumsamehe tu Mkuu.
Bora huyu kakiri alikosea.
Kuna wengine wanajua walikosea lakini bado wamekaza mafuvu!!
Hawataki kukiri kwa kulinda makosa ya Bosi wao!
Wanapalilia ugali wao na familia zao zaidi kuliko kutetea maslahi ya Taifa!!
 
Back
Top Bottom