pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Wewe jamaa unapenda sana kulog offHongereni wana Chad
Nalog off
Naye watammaliza soonMwanae atangazwa kuwa Rais wa mpito.
Umesahau kuwa CHAWA wake walishaanza kuimba mapambio ya kubadilisha katiba ili aongezewe mhula''Bingwa'' alikuwa anafukuzia term ya 6 ya urais!! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kwakuwa madikiteta wana nguvu za kiulinzi basi God kaamua kuingilia kati maana yeye hama mshindaniAlijifanya kwenda mstari wa mbele kupigana na waasi. Alikuwa anaanza ngwe ya 6 kuongoza. Yaani tangu 1990 yupo tu na alikuwa hataki kumwachia mtu mwingine.