Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

Kibaraka wa Ufaransa na ni kawaida yake yeye na watoto wake wote wa kiume kwenda mstari wa mbele, waasi wameshawahi kumfikia mpaka nje ya ikulu akawapigia washikaji zake wakifaransa wanakuja kutuliza.RIP ITNO DERBY DARFUR watakukumbuka kwa kuwapa tafu wasiteketezwe na waarabu.
kama aliingia madarakani kijeshi ni kawaida kwenda front
 
Habari za kifo chake haziko wazi, ila ni kama amekufa kwa majeraha ya risasi, na mtoto wake anayejulikana kwa jina la Kaka ametangazwa kuwa rais wa mpito.
Kama mtoto katangazwa Rais,bado ngoma nzito hapo...
 
Déby, was expected to give a victory speech after receiving the provisional results, but opted instead to visit Chadian solidears on the front lines, said his campaign director Mahamat Zen Bada...!![emoji848][emoji848][emoji848]walimchoka wakamshauri vibaya ili wakammalize
 
Watajijua waafrika ndivyo tulivyo yaani tangu 1991 mtu yuko madarakani tu , hakuna maendeleo udikteta tu
 
Kabila lake la zaghawa liwe tayari sasa kuonewa kwasababu ndio walikuwa wengi jeshini na kutawala kila sekta. Hawa zaghwa wamilion tano na zaidi. Sudan Magharibi wako million mbili laki nbe, kusini mwa Libya wako elfu kumi na chad wako million mbili laki mbili.

Makabila mengine ya chad waliwapinga sana kwa sababu walienjoy keki ya taifa. Ni ufaransa iliyomuunga mkono na labda iliyomuua.

Zaghwa ni makabila ya sahel
Si nasikia kapewa mwanae, wataendelea kula keki gao
 
Yaani kafa halafu Military Council itaongoza Nchi na Mwanae ndio atakuwa kiongozi wa Nchi kwa muda wote, Bunge na Katiba vimesitishwa. Hapa kuna harufu ya mchezo mchafu,pengine kafariki natural death wakaona waseme kafia Vitani ili Mwanae achukue Nchi ili kuogopa Makamu wake asishike madaraka.
 
Back
Top Bottom