LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Waulize ccm Kwa nn walitoa amri lissu awekee ndani kupitia kesi feki; chuma kilianza kuamsha watanzania nchi nzima.Ahahahahaha! Labda wa kufukuzana. Huo naukubali. Lakini wa kuiogopesha Serikali au CCM? Labda kwenye ndoto! Ahahahahaha!!
Chadema ni bahari haikai na uchafu,taka taka zote tupa kuleeeee 👉Jamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.
Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu sana, kila mtu anawaita wasaliti, nk wananchi wamefurahi sana kuondoka kwao, na wanasema BAdo baba yao kuondoka!( Mbowe)
KWA mara ya kwanza chadema kimetoka chini ya mikono ya wafanya biashara, hasa huyu" Mbowe" amekitumia chama kujinufaisha yeye na sio watanzania.
Miaka zaidi ya 20 anafanya biashara na Ccm Mungu ameendelea kujibu maombi ya watanzania kwa kutuletea Tundu Lisu kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Maji na mafuta yameanza kuonekana taratibu, Mungu mpe maisha marefu Tundu Lisu atimize kusudi lako kwa nchi yetu Tanzania .
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Watu walishasema kitambo kuwa Chadema si chama pinzani, wale ni wasanii tu wanaocheza na akili za watanzania wasiojitambua. Mbowe ni kuwadi wa CCM, amekula sana hela za chama yeye na makuwadi wenzake ambao ndiyo hawa G55. Chini ya Lissu ndipo Chadema kitakuwa chama cha ukweli cha upinzani na ndiyo maana CCM inamfanyia madudu ili tu imtie nguvuni na kusambaratisha chama. In short, CCM hawataki upinzani kwa sababu hawataki nchi iendelee.Jamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.
Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu sana, kila mtu anawaita wasaliti, nk wananchi wamefurahi sana kuondoka kwao, na wanasema BAdo baba yao kuondoka!( Mbowe)
KWA mara ya kwanza chadema kimetoka chini ya mikono ya wafanya biashara, hasa huyu" Mbowe" amekitumia chama kujinufaisha yeye na sio watanzania.
Miaka zaidi ya 20 anafanya biashara na Ccm Mungu ameendelea kujibu maombi ya watanzania kwa kutuletea Tundu Lisu kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Maji na mafuta yameanza kuonekana taratibu, Mungu mpe maisha marefu Tundu Lisu atimize kusudi lako kwa nchi yetu Tanzania .
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Mungu ibariki CCmJamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.
Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu sana, kila mtu anawaita wasaliti, nk wananchi wamefurahi sana kuondoka kwao, na wanasema BAdo baba yao kuondoka!( Mbowe)
KWA mara ya kwanza chadema kimetoka chini ya mikono ya wafanya biashara, hasa huyu" Mbowe" amekitumia chama kujinufaisha yeye na sio watanzania.
Miaka zaidi ya 20 anafanya biashara na Ccm Mungu ameendelea kujibu maombi ya watanzania kwa kutuletea Tundu Lisu kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Maji na mafuta yameanza kuonekana taratibu, Mungu mpe maisha marefu Tundu Lisu atimize kusudi lako kwa nchi yetu Tanzania .
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Timé will tell.Jamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.
Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu sana, kila mtu anawaita wasaliti, nk wananchi wamefurahi sana kuondoka kwao, na wanasema BAdo baba yao kuondoka!( Mbowe)
KWA mara ya kwanza chadema kimetoka chini ya mikono ya wafanya biashara, hasa huyu" Mbowe" amekitumia chama kujinufaisha yeye na sio watanzania.
Miaka zaidi ya 20 anafanya biashara na Ccm Mungu ameendelea kujibu maombi ya watanzania kwa kutuletea Tundu Lisu kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Maji na mafuta yameanza kuonekana taratibu, Mungu mpe maisha marefu Tundu Lisu atimize kusudi lako kwa nchi yetu Tanzania .
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Chama kimejiua gambaSana.
Wengi tumepata amani. Na tunajua sasa Mbowe aliongoza chama cha aina gani
Mtakuwa mnajifarijo hivyo hivyo siku zonaenda na maisha uanasonga mnaambulia nothingJamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.
Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu sana, kila mtu anawaita wasaliti, nk wananchi wamefurahi sana kuondoka kwao, na wanasema BAdo baba yao kuondoka!( Mbowe)
KWA mara ya kwanza chadema kimetoka chini ya mikono ya wafanya biashara, hasa huyu" Mbowe" amekitumia chama kujinufaisha yeye na sio watanzania.
Miaka zaidi ya 20 anafanya biashara na Ccm Mungu ameendelea kujibu maombi ya watanzania kwa kutuletea Tundu Lisu kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Maji na mafuta yameanza kuonekana taratibu, Mungu mpe maisha marefu Tundu Lisu atimize kusudi lako kwa nchi yetu Tanzania .
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Kesi feki ambayo mahakama haijaiamua eti? Halafu unajiona una akili timamu ya kujadili JF?Waulize ccm Kwa nn walitoa amri lissu awekee ndani kupitia kesi feki; chuma kilianza kuamsha watanzania nchi nzima.
Chadema ilijaa wahuni aisee , kweli Mungu yupo kazini, kuna mambo Bwana Msiba hua anaongea ,pamoja na ujinga mwingi ila kuna vitu vya msingi sana hupitia kwenye ujinga uleJamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.
Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu sana, kila mtu anawaita wasaliti, nk wananchi wamefurahi sana kuondoka kwao, na wanasema BAdo baba yao kuondoka!( Mbowe)
KWA mara ya kwanza chadema kimetoka chini ya mikono ya wafanya biashara, hasa huyu" Mbowe" amekitumia chama kujinufaisha yeye na sio watanzania.
Miaka zaidi ya 20 anafanya biashara na Ccm Mungu ameendelea kujibu maombi ya watanzania kwa kutuletea Tundu Lisu kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Maji na mafuta yameanza kuonekana taratibu, Mungu mpe maisha marefu Tundu Lisu atimize kusudi lako kwa nchi yetu Tanzania .
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Umeona vema, na huu ndiyo ukweli wenyewe.Watu walishasema kitambo kuwa Chadema si chama pinzani, wale ni wasanii tu wanaocheza na akili za watanzania wasiojitambua. Mbowe ni kuwadi wa CCM, amekula sana hela za chama yeye na makuwadi wenzake ambao ndiyo hawa G55. Chini ya Lissu ndipo Chadema kitakuwa chama cha ukweli cha upinzani na ndiyo maana CCM inamfanyia madudu ili tu imtie nguvuni na kusambaratisha chama. In short, CCM hawataki upinzani kwa sababu hawataki nchi iendelee.
Kwamba umeongea na Mungu Asema atamleta kibaraka kuwa Rais wa 🇹🇿 au? Huyo atakuwa ni Mungu wa Brussels na Ufipa.Sio kujifariji subili,na utaona majani ya Mungu
Na muda ndio huu
Hapa wananchi tukipata support kidogo tu kutoka kwa wenye mabaka nchi inakombolewa haraka sana. Watz wengi tunateseka sana na hivi vikundi vya wachache wasiokuwa wazalendo, ndiyo maana taifa haliendelei ni watu wana njaa kila kona isipokuwa wachache wanaogawana keki ya taifaSasa hivi CHADEMA kiko kwenye mikono ya Wananchi wote wa Tanzania, never again siasa za kidalali.
Bado Taifa letu nalo tulitoe kutoka katika mikono ya kikundi cha watu wachache na tulirudishe kwa wananchi.