CHADEMA chini ya Tundu Lissu kimekuwa chama cha Wananchi wote!

Lipumba aliwekewa pesa ya aliwekewa mpunga kwenye acc. Ya bongo TISS wakachukua na kumuachia 100 tu
Mbowe

Kina bon yai sasa wanajenga majumba kwa pesa ya mgao. Hawa kina kigaila wote wamekula mgao ili waiue chadema
Boni yai tena? Huyo jamaa mpambanaji wa pesa zake sio kama wewe unategemea mfuko wa lema ndio ule
 
Tukiacha suala la ukabila kila kitu sawa. CHADEMA haikuwa ya Wachagga. Ni kwakuwa tu Mbowe ni Mchagga ila hata nafasi za juu za chama zilikaliwa na makabila mbalimbali (Slaa, Mnyika, Sugu, Wenje, Heche n.k)

Mimi ni Mchagga lakini nilikuwa na umizwa na watu kusema CHADEMA ni chama cha Wachagga kisa Mbowe.

Wote tumekuja kujua mwamba kumbe alikuwa anatuchelewesha na anatumika na hata kukaa kwake jela alikuwa anajua naenda kuneemeka vipi. Kumbe alikuwa anatumia chama kama njia ya kujinufaisha yeye mwenyewe.

Sasa chama tumeshakishika wana mabadilko ni mwendo wa kupigana spana tu.
 
Askofu Gwajima alisema Nchi itakombolewa sio na kundi la Watu bali Kwa Baraka za Mwenye haki mmoja tu.

Naona hili neno la Bwana likitimia
Gwajima na Lissu uwa kama wana connection flani hata kabla ya kupigwa risasi Lissu Gwajima alimpa onyo mapema Lissu
 
Wananchi wote wp mi mbona chama changu Ccm usiseme wote
 
Mungu ibariki TANGANYIKA na huyu mama, huyu mama arudi kwao kizimkazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…