CHADEMA chini ya Tundu Lissu kimekuwa chama cha Wananchi wote!

Unaongelea hii chadema inayokufa au kuna ingine
 
Kama una amani mbona unatumia I'd fake ?
Maamuzi yangu kutokana na nchi yangu inatimiza uhuru na haki kwahyo nimeamua tu kutumia Id fake halafu na ww mbona kwenye maandamano huendi mi nashangaa mnajidai wanaharakati halafu mnakuja kujificha jf hizo kelele zenu atazisikia nani yanapotokea maandano nendeni
 
Lipumba aliwekewa pesa ya

Lipumba aliwrkewa bl 1. 5 kuiua UF Kwenye Account yake ya bongo baadaewakaja wakazikomba zote wakabakiza ml 100 tu.
Mbowe aliomba awekewe mzigo kabla ya uchaguzi kwenye ACCOUNT yake yaCHINA.
huu mzigo ndo unafanya haya yote
Siri za namna hii huwezaje kuvuja?
 
Mwaka huu, mtaona moto sana chini ya lisu na wananchi wameamua, mafisadi wote out
 
Mwaka huu, mtaona moto sana chini ya lisu na wananchi wameamua, mafisadi wote out
 
Wana hali mbaya sana ,
Leo mpaka wachambuzi wa dw walisema baadaya ya kuulizwa swali je chadema ndiyo mwisho wao baada ya kuondoka G55. Mchambuzi akajibu chadema walishaondoka watu wenye nguvu kubwa kuliko hao wote na aijawa mwisho wa chama .
 
Na Mimi nimegundua ni kama Kuna uwezekano jamaa FAM alikuwa anavuta mpunga kutokea section B.....
 
Kabisa na alafu kuwa na adabu ni rahisi sana ni kupata wapinzani wa kweli tu. Siyo Ile ya kuweka mapandikizi yaongoze vyamanvu upinzani alafu ccm kazi yao kiwageuza Kama samaki.
 
I felt the same brother,Chadema ni mpango wa Mungu dhidi ya fitina zote katika Taifa hili...Yani Tundu Lisu ni Msemene,anakula kote kote Mamluki +mboga mboga
 
Boni yai tena? Huyo jamaa mpambanaji wa pesa zake sio kama wewe unategemea mfuko wa lema ndio ule
Hii team Lisu ina wivu kama mwenyewe,Bony na Mbowe nani asiyejua wanavyopambana,ila hawa kwa vile ni mabingwa wa kulalamika na wivu,kila mtu mwenye chochote kwao anakula hela ya chama na Ruzuku.Wameachiwa chama siku 70 tu,sasa hivi kina pancha kila mahali
 
Julius Mwita utamsikia Radio France. Ila safari hii madalali ndani ya cdm lazima wakae.
Kwa sasa naweza kuizingatia CHADEMA kwa maana virusi vyote vimeshajitenga. Lissu ni ARV ya vimelea vyote hatarishi vilivyokuwa vinayumbisha mipango na misimamo ya Peoples Power.
 
Chini ya Lissu chama kitaimarika, Mbowe ni msanii mno na inabidi akamatwe kwa kujilimbikizia hela za chama.
Tapeli Aikaeli sikuwahi kumkubali kabisa kama Mwenyekiti hasa baada ya kuwa mtu wa kupewa chai za Ikulu.
 
Kwamba Mbowe ni mjinga atumie hela za urithi kuendesha Chama? Nafikir una safari ndefu ya kujifunza kuhusu wachaga na fursa za kifedha.
 
Sasa chama sio cha wachaga, ni cha watanzania wote, Mungu mwema
Mimi sio chadema ila nina support movement zao tangu FAM alivyong'oka madarakani. Sasa chama chao kitakuwa na Pure and Clean intentions. Sio ulaghai wa maridhiano aliokuwa anaufanya Aikaeli wa kupokea vibahasha na kula na mamluki wenzake ndani ya Chama.
 
Nashauri chadema pia kibadilishwe jina ili kuondoa kabisa kumbukumbu za hawa mbwiga akiwemo mbuzi makengeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…