CHADEMA Dodoma: Mbowe asipoachiwa, tutaitisha maandamano bila kikomo

Inashangaza sn,halafu watu si wajinga sikuhizi.Kumbambikia mtu kesi kijinga hivi ni ushamba.

Watakufa et hawa watu jamani,mbona hawajifunzi?

Watanzania sikuhizi maombi yao ni makali wakiamua kumshitakia Mungu
 
Viongozi wetu ni wajinga na tumerithi ujinga wa majeshi ya kikoloni
 
Inashangaza sn,halafu watu si wajinga sikuhizi.Kumbambikia mtu kesi kijinga hivi ni ushamba.

Watakufa et hawa watu jamani,mbona hawajifunzi?

Watanzania sikuhizi maombi yao ni makali wakiamua kumshitakia Mungu
 
Hawa wahuni wapimwe mikojo
 
Wee mzee mzima mdini. Rudi kwenye jukwaa lako la historia unakotetea uaislam na wapigania uhuru wa kiislam!!
 
Inashangaza sn,halafu watu si wajinga sikuhizi.Kumbambikia mtu kesi kijinga hivi ni ushamba.

Watakufa et hawa watu jamani,mbona hawajifunzi?

Watanzania sikuhizi maombi yao ni makali wakiamua kumshitakia Mungu
Mbowe ni muuaji
 
Msituletee kuongezeka kwa wagonjwa wa uviko-19. Kifupi hamueleki kuna mifano mingi sana kuuonyesha umma wa Watanzania na jumuia za kimataifa kuwa Serikali inaficha taarifa za ugonjwa huu. Kulikoni tena wakati Serikali ikipambana kama mlivyotaka nyie mwaja kinyume mkitaka mikusanyiko? Nadhani awamu hii tumieni uwakirishi kwa viongozi wa CHADEMA koo na familia zenu ingieni barabarani tutawapongeza sana kwa ujasili na sio kushawishi Watanzania wakati viongozi mkiwa nyuma ya computer
 
Mama si bado anaupiga mwingi, au mmemfanyia sub.
 
Sasa tunaye dictator katika maumbile ya kike ngoja tumlilie Mungu wetu manake aishatenda muujiza mkubwa juzi kati tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…