PreGE2025 CHADEMA haitoweza kushiriki uchaguzi ndani ya miaka mitano ikiwemo wa mwaka huu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Kupanga ni kuchagua....Mitano tena.
 
Tunaacha wageni wanatuamilia mstakabali wetu Hulu tupo hapahapa
 
Wananchi ambao watakwenda kupiga kura watapiga kura kwa aibu kubwa sana.

Mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania, hawatapiga kura, ni Bora kupitisha wabunge wakiopo kuwa wabunge kuliko kupoteza muda na fedha kuendesha uchaguzi mkuu.
 
Kailima amekaa kikomedikomedi sana.Halafu ni msomi.Huyu ni wa kuombewa fomu kwenye kundi la Kingwendu aoneshe kipaji.Kama kwa Kingwendu pako full house,aombewe nafasi kwa Miso-Misondo.Very talented old-mad boy!
Personal
Attacks hazisaidii

Tujiulize why chakandumuz wamecommit suicide kijinga hivi?

Nyerere aliwahi kutufundisha kuhusu kususa…. Haikusaidii

Fight on from within
 
This has been planned purposely by CCM to damage CHADEMA credibility. Huu ndio tunaita uhuni wa Serikali ya CCM. Wamefanya maksudi ili kuikomoa CHADEMA maana ndo threat kubwa kwa Utawala wa CCM.
Hapa wala haihitaji elimu ya sayansi kurusha roketi. Ni jambo liko wazi hata kipofu anaona! Kinachotakiwa hapa ni CHADEMA kwenda Mahakamani kuiwa challenge TUME YA UCHAGUZI kwa huu uhuni waliowafanyia CHADEMA. Ni uonevu, ni ukatili na ukandamizaji wa Demokrasia Tanzania.
 
Mwaka 2020 CCM walijichukulia kwa hila viti 263 kati ya 264 vya Ubunge

Chaguzi za Serikali za Mitaa mwaka 2024 kitu kama hicho kikatokea tena. Hii iliwathibitishia wale wote waliokuwa wanadhani kwamba β€œmama ana utu na huruma” kuwa sio kweli na kwamba ubovu wa Tume ya Uchaguzi unatoa mwanya kwa uchafu huu kufanyika

Nini kitawazuia CCM kufanya hayohayo tena mwaka 2025? Kudhani kwamba kutakuwa na muujiza na chama cha upinzani kinaweza kupata haki ni utoto na uzwazwa wa kiwango cha PhD. Hii ndio ile Albert Einsten aliita kuwa ni madness
 
Sasa badala ya kuipa damage CHADEMA wao ndio wamejitia damage kubwa sana
 
Muda bado upo, huyo mkurugenzi atabadilisha kauli, ngoja apelekewe moto wa NRNE ataelewa
 
Sasa badala ya kuipa damage CHADEMA wao ndio wamejitia damage kubwa sana
Kwa mashabiki wa CCM na vibaraka vyao inaonekana hivo but the reverse of it is correct! CCM ndo wanazdi kujikaanga kwa mafuta yao wenyewe.
 
Kailima amekaa kikomedikomedi sana.Halafu ni msomi.Huyu ni wa kuombewa fomu kwenye kundi la Kingwendu aoneshe kipaji.Kama kwa Kingwendu pako full house,aombewe nafasi kwa Miso-Misondo.Very talented old-mad boy!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hatuhitaji kubembelezwa na yeyote. Huyo kiazi ni zero
CCM acha waendelee na uhuni wao wa kubaka Demokrasia Tanzania huku wakifikiri wako smart ilhali wanaji dhalilisha mbele ya Watz na Dunia nzima! Ni bora wafute mfumo wa multiparty Tanzania. Time is coming muda utaongea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…