Humjui rais was tff yule msomali mpumbavu mwanasisiem mwenzenu kuhusu TLC hiyo mnaijua huko Lumumba maana watanzania hawaijuiRais wa TFF au TLC
Tahadhari kwa vyombo vya dola, Wiki ijayo ina matukio makubwa mawili Ujio wa Lissu na Msiba, Macho ya dunia yatakuwa Tanzania.Kama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Me. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina.
Na ccm inawapotezea sana marais wastaafu sifa za kiongozi wa kitaifa Kwa kuegemea kwenye ujinga na kuutetea. Yuko kama la LISU watu kupotea wap kimya hata kukemea wanashindwa. Utasema kiongozi wa taifa hapo?. Na hii imewakumba hata baadhi ya kiongozi wa dini pia
Acha wivu nyie mkiwa mnaomboleza na sisi tunampokea TL Kuna shida gani?Kama wanatafuta kuumia wambie waandamane.
Yani sisi tunaomboleza wao waandamane?
Haki ya mama ataumia mtu.
Kwani mgombea urais chadem ni nani 2020[emoji16][emoji16]Huna hoja wewe "taga" wa lumumba
Wakati Lissu anapambania uhai nyie mlisitisha shughuli zenu?so ndio kwanza mlikuwa bize mkifurahi na kugawana vyeo?
Leo mnataka watu waache ratiba zao kwa ajili ya mtu aliyewaita wapinzani wapumbavu na malofa
Acha wivu nyie mkiwa mnaomboleza na sisi tunampokea TL Kuna shida gani?
Wivu tu unakusumbua!
Kama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Mhe. Benjamin Mkapa.
Na Mungu wetu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Amina.
kwani mgombea urais chadem ni nani 2020[emoji16][emoji16]
maana lissu anafahamika zaidi mbele kuliko hapa tz,hata jimboni kwak wameshamsahau.
Wewe nenda msibani, wengine nao wakampokee mgeni wao. Maisha yaendelee pande zoteKama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Mhe. Benjamin Mkapa.
Na Mungu wetu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Amina.
au wewe.
Una akili timamu?
Umemweleza ukweli. Hapa nilipo kuna msiba mahali fulani. Lakini nitakwenda nikimaliza majukumu yangu. Mbona kuoangiana ratiba?Kama wanataka kufanya mapokezi waachen ban labda msiba haujawagusa kwan ww kila anaefariki mtaani kwako hua unakwenda au hua hufanyi mamb yako?
subiri uone utanielewa.Yani Lissu ana bahati mbaya kurudi nyumbani??
Na nyie acheni familia na ndugu wa karibu wa marehemu waomboleze hamjalazimishwa..au mnajipendekeza?Lisu ni nani kwenye taifa hili?
Kwanini asipokelewe na wanafamilia wake (mke na watoto wake)
Kama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Mhe. Benjamin Mkapa.
Na Mungu wetu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Amina.