CHADEMA hawana ushawishi kwa Watanzania kuchukua Dola, ni ndoto na kujidanganya

CHADEMA hawana ushawishi kwa Watanzania kuchukua Dola, ni ndoto na kujidanganya

Wanaukumbi.

Ni mtu mwenye mawazo finyu na upeo mdogo pekee anaweza kufikiria CHADEMA wana uwezo wa kuongoza taifa.

Ni sawa na kulinganisha kifo na Usingizi.

CCM ni chama chenye nguvu Ukanda wa Africa Mashariki, Kati hadi Kusini.

Ufipa ni chama chenye nguvu Machame na maeneo ya Moshi, Hadi Himo na Tarime, unaona tofati iliyopo CHADEMA wamekuwa watu wa kurukia matukio kila siku kukicha hawana dira hawajui Watanzania wanataka nini.

Chama kina mbunge moja wa kuchaguliwa kinapata wapi nguvu ya kujiita chama kikuu cha upinzani.

Sheria za FIFA zinakataza harakati au siasa kwenye viwanja vya mpira.

Hawa wafuasi wa CHADEMA hawana ufahamu wowote wao kila sehemu na matisheti ya CHADEMA katiba mpya daaah

Hivi nyie mnajielewa kweli?
Umeshamaliza zamu ya kulinda kaburi la mungu wenu wa sukuma gang?? Chadema wanastaili kuchukiwa maana walimsulubu sana mungu wenu ikawa kila baada ya mwezi anakwenda gereji
 
Sasa wewe ungekuwa na mtu makini ungekuwa mateka wa Mbowe elimu yake kidato cha nne tena DJ akili za Bavicha bana.
Mbana wewe mfuasi wa musukuma na kibajaji na hatuongei au unafkiri hatujui
 
Usitafute pakukimbilia mimi sijataja dini ya mtu naomba ujibu swali.

Kati ya vyama vya siasa ni vyama vipi vina wenyeviti waliodumu kwenye nyadhifa hizo kwa zaidi ya miaka 5, 10, 15 au 20?
Hujawahi kumzungumzia Lipumba kabisa wewe shida yako ni mbowe tu basi
 
Kumbe inakuuma? Mbona kina polepole walikua wanaenda viwanjani na sare za kijani tena anakua mgeni rasmi
Sheria za FIFA zinakataza harakati au siasa kwenye viwanja vya mpira.

Utopolo wa Katiba Mpya na matisheti ya CDM ni siasa. Maandishi kifuani eti watu wasome.

Kumbe ndiyo maana Mbowe kwa miaka 22 mwenyekiti CHADEMA.

-Chama kina wanachama na wafuasi wapumbavu hadi inatia huruma yaaani.
 
Umeshamaliza zamu ya kulinda kaburi la mungu wenu wa sukuma gang?? Chadema wanastaili kuchukiwa maana walimsulubu sana mungu wenu ikawa kila baada ya mwezi anakwenda gereji
Wakati mwingine nakubaliana na Mbowe aliposema wafuasi wa Chadema silaha zao
Kubwa ni matusi wote tunaonekana wavuta bangi.
 
Back
Top Bottom