CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

Wako wajinga wengi ktk hivi vyama na kwakua wamepata ufuasi hujihisi wana akili lkn ni mbumbumbu wa mwisho.
 
Wataambulia SIFURI, au SUFUR kwa lugha ya kiarabu😁
Uchaguzi wa Tanzania wa vyama vingi haujawahi kuwa wa huru na haki...Hata huko zanzibar ambako ni waislam tupu mnaibiana uchaguzi na kuuana wenyewe kwa wenyewe kama hamna akili vile. Unazungumza kitu cha kufikirika na ushabiki tu maaana hata CCM kwenyewe kuna waislam na wakristo. Hizi dini zimewavuruga sana aisee. Sasa huna umeme,sukari,dollar na maisha magumu, amesaidia nini huyo rais wako muislam.Ufahari wa kuwa na rais wa dini yako unatosha? si akili za nyani hizi?
CCM ni genge la wezi wanaojinufaisha kwa njia zozote ikiwemo udini maana wanajua kuna watu kama nyinyi ambao akili zenu ni za kushikiwa wanaweza kuwatumia.
Mwisho wa siku ni wenyewe CCM na familia zao tu ndiyo wananufaika.
Kwani 2015 waislam walimpigia kura nani?
 
Hiyo unasema wewe kafiri,

Uislam unaunganishwa na kalima ya Laa illah Illa Allah, Muhammad Rasuul Allah ..

Hakuna Mungu anapaswa kuabudiwa isipokuwa Mungu Mmoja Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo na kwamba Muhammad ni Mtume wake...
Huyo muhammad mwenyewe anakushangaa wewe kwa kupingana naye ila ni kwasababu wewe ni muisiharamu maana haya niliyo yasema ndiyo aliyo yasema na kuyafundisha muhammad ...muhammadi alisema patakuwa na makundi 70 ya waislam ila kati ya hayo ni moja tu ndiyo watakuwa waislamu wa kweli mengine yote yaliyo baki watakuwa ni waisiharamu ....sasa niambie hayo mameno ya mudi ni ya kweli au la ...je unaya amini au unayapinga ...kama ni yakweli basi mbona unapinga kuwa hakuna WAISIHARAMU DUNIANI ....basi nipe logic ya hayo mafunuo ya muhammadi kuhusu hiyo 70 .
Kwa jinsi unavyo taka wewe kuniaminisha mimi ni kuwa nikusikilize wewe kuhusu uislamu kuliko muhammad ambaye yeye mwenyewe kwa kinywa chake kasema kuhusu madhehebu 70 ambayo 69 yatakuwa si chochote si lolote bali ni WAISIHARAMU
 
Mafikirio yangu ni Kama yako. Mambo ni mengi muda ni mchache
 

Kuyatazama mambo yote kwa mtizamo wa kidini yameziponza sana jamii nyingi. Kuna mambo ya kutumia akili tuliyopewa na mwenyezi Mungu badala ya kusubiri kuhubiriwa na wapotoshaji.

Kuna mafundisho ya dini ambayo yanapofusha akili za watu. Mafundisho kama yale yanayosema kuwa ndugu katika imani ni ndugu wa karibu zaidi kuliko ndugu wa damu, yanapalilia fikra za kumwunga mkono mshirika wa dini yako katika lolote ( liwe jema au baya) dhidi ya mwenye imani tofauti.

Sijawahi kusikia kuna msikiti Tanzania uliwahi kuchomwa moto na wakristo, hapa Tanzania. Sikuwahi kusikia kuna biashara ya muislam iliwahi kushambuliwa na mkristo kwa sababu inaenda kinyume na dini yake. Lakini hayo yametendwa sana na baadhi ya waislam dhidi ya wakristo. Kiuhalisia, tukiongelea chuki za kidini, ni baadhi ya waislam wamewahi kuonesha wazi chuki dhidi ya wakristo. Hata hivyo, wapo waislam wengi wenye hekima, na wanaotambua kuwa imani ni suala la mtu binafsi lisilostahili kulazimisha watu wote watende au wasitende unavyotaka wewe au mimi.
 

Kwa Tanzania na Kenya, ufirauni ni tabia ya watu wa pwani.
 

Mimi sio mzanzibar, suala la kuibiana hilo sina ushahidi nalo, na dini yetu hairuhusu wizi, hao wanaofanya wizi ni nafsi zao wenyewe, hivyo ni dhambi kufanya hivyo.

2015 unategemea magufuli alipigiwa na nani kura kama sio waislam wengi wao! Nchi ina idadi kubwa ya waislamu tukisema tususie kupiga kura unadhani ccm itapita! Inawezekana kabisa hata lowasa na Dr slaa kuna waislam pia walijitokeza kuwapigia.
 
Kwanza unatakiwa kujua chaguzi zote zinaibwa na ccm kwa hiyo hatuwezi kuzungumzia matokeo ya wizi. Ingekuwa free and fair elections tungezungumza kitu. Idadi ya waislam nchi hii ulifanya sensa lini? Mnao mfumo wa kuwa hesabu waislam hai mkaangalia mko wangapi kulingana na population ya Tanzania au mnajidanganya huko uswahilini mkikaa kwenye vijiwe vya kahawa?
 
Ni ukweli usiofichika Wakristo wengi sana hapa Tanzania wako 'indoctrinated' (wamekasumbishwa?) dhidi ya Waislamu; wanaamini na kukubali vitu vya kipumbavu sana juu ya Waislamu, hata hao wasomi wao!
Kwa upande mwingine, Waislamu wengi pia, wanawaona Wakristo wanapendelewa katika kila jambo hata yale ambayo wameyapata kwa juhudi zao.
Hili taifa lina maradhi, na hatujapa kiongozi wa kuyatibu maradhi hayo kwa kusema ukweli, kufanya uadilifu na kutazama uwezo wa mtu tu kuwa kigezo pekee.
 
Hakika,ulichosema ndicho hasa kitu KILICHOPO
 
Hawezi kuwa muislam Kisha akachoma kanisa, muislam mwenye kuutambua uislam amefundishwa kuheshima dini ya kila MTU,Kwa sababu uislam unasema makafiri Wana dini Yao na waislam Wana dini Yao, tatizo nyinyi makafiri mnatazama mfanyaji wa tukio Hilo jina lake limekaa kiarabu au kizungu Kisha mnafanya judgement,MTU kuitwa Abdallah,Ally au whatever doesn't justify kuwa ni muumini wa uislam au ametumwa na uislam kufanya matukio hayo.
 
Onyesha kipeperushi matusi ya nini
Ukimaliza kutukana onyesha hiko kipeperushi
 
Hiyo unasema wewe kafiri,

Uislam unaunganishwa na kalima ya Laa illah Illa Allah, Muhammad Rasuul Allah ..

Hakuna Mungu anapaswa kuabudiwa isipokuwa Mungu Mmoja Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo na kwamba Muhammad ni Mtume wake...
mungu amewashindwa taifa la israel
 

Ndio maana mnakimbia sensa, kumbe mnajua waislamu ni wengi!
 
Nimesoma reply zako nyingi kuhusu watu w dini niseme unaongea pumba
Nikukumbushe elimu uliyosoma walileta wazungu kupitia shule za mission unavyowaona watu wanaofuata dini ni wajinga usisahau na wale wanaosoma elimu ya mzungu

Hii elimu tunayosoma sio ya mwafrika bali ya mzungu hata vitabu vingi waandishi ni wazungu
Huwezi tuhumu watu ni watumwa wa watu weupe ilihali na wewe unasoma elimu ya mzungu kwa lugha nyingine wewe pia ni mtumwa wa mtu mweupe
 
Wakati mwingine kuelewa contents ni vizuri kuliko ushabiki wa kidini. Hakumaanisha kitu chochote kibaya kama unavyotaka watu waamini
 
Seconded
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…