Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hiyo ruzuku iliandikwa kwamba ni lazima inunue gari la Lissu?Kwani katiba yao umeisoma kuhusu vyanzo vyao vya mapato na matumizi yake?Usijichanganye.Utajionesha una wivu,chuki,hasira na kutokujielewa tu.inamaana Chama kinakosa bajet hakipati ruzuku haikupaswa Chama kurudi mbele za wananchi kuomba michango tena Bali ilipaswa Chama kijiendeshe chenyewe kufumbua project za Chama ambapo zingesaidia kutimiza mahitaji yao kama hayo ambayo wao.wanayaona ni muhimu
ni aibu kwa Chama chenu kuja na kuomba mchango kwa wananchi
Kwahiyo fomu za Mgombea wa CCM zinatolewa na Serikali na unaona ni sahihi?iyo imeusisha serikali na sio Chama
Chama gani kimewahi toa mchanganuo wa michango au ruzuku? Taja kimoja tu nikuoneshe mwanaCCM mwenye akili.kijana jitambue unaona ni sawa mmeshawai kupata mchanganuo wa fedha mlizochanga ata siku moja?
Kuna bima kwenye terrorism? Wewe umesoma shule ya wapi? Bima gani baada ya miaka 8?ilo gari halikuwa na bima?
acheni kuwa wapumbavu na mmesoma mlipelekwa shule kuondoa ujinga na kuongeza uwezo wa kufikiri wewe unapanga foleni kwenye mwendo kasi af leo unamchangia mtu pesa ili asinyeshewe na mvua izo ni akili kwli
Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?
Lissu acha kuibia watz ilo lipo wazi wewe umejitosheleza kwa kila kitu bado unakuja mbele ya watu unaomba mchango upate gari jipya kweli kwa masikini hao hao ambao hawana ajira ambao bado hawajajua hatima yao ya kesho bado wanapambana kupata bei mzuri ya kuuza mazao yao mbona unakuwa na tabia za chuma ulete.
Michango ya chadema inakuwa na manufaa kwa viongozi na sio Chama kuna vitu tunatakiwa kuonyesha uzalendo lakini sio kwa kuchangia gari chadema na wanachama wake muwe mnajitathimi michango ambayo mnaieleta kwa wananchi wawa wawachangie
CHADEMA kwa hali mlio fikia hampaswi kuitwa Chama kikuu cha upinzani Tz tunaona wazi kabisa kuwa mnania ya kuwafanya masikini wazidi kuwa masikini zaid
haya sio mapenzi ila ni kunyonya watuNilichogundua ni kwamba CCM na watesi wa Lissu kinachowatesa ni mapenzi ya Wananchi kwa Lissu, wala sio Jambo lingine, Jamaa wanatamani Mh.Lissu angekufa kabisa, bahati mbaya katangulia IBILISI aliyepanga haya yote.
gari Hain bima?Michango ni hiari siyo lazima na wala siyo Chadema wote watamchangia,lakini hata nje ya Chadema wanaweza kumchangia!
Watu wanamchangia kwa sababu ya kumpa pole baada ya kufanyiwa dhuluma ya maisha yake na wale waliomrudishia gari yake iliyo haribiwa kwa risasi.
chadema kiasi gani? mbona usem..Ccm inapokea bilioni 3 kila mwezi kama ruzuku toka serikalini.
Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?
Lissu acha kuibia watz ilo lipo wazi wewe umejitosheleza kwa kila kitu bado unakuja mbele ya watu unaomba mchango upate gari jipya kweli kwa masikini hao hao ambao hawana ajira ambao bado hawajajua hatima yao ya kesho bado wanapambana kupata bei mzuri ya kuuza mazao yao mbona unakuwa na tabia za chuma ulete.
Michango ya chadema inakuwa na manufaa kwa viongozi na sio Chama kuna vitu tunatakiwa kuonyesha uzalendo lakini sio kwa kuchangia gari chadema na wanachama wake muwe mnajitathimi michango ambayo mnaieleta kwa wananchi wawa wawachangie
CHADEMA kwa hali mlio fikia hampaswi kuitwa Chama kikuu cha upinzani Tz tunaona wazi kabisa kuwa mnania ya kuwafanya masikini wazidi kuwa masikini zaid
we unaona sii sawa.Sawa ila unaona ni sawa?
pumzika kijana inamaana Chama kinashindwa kumnunulia mpaka kije mbele za wtz kuomba mchango?punguani wewe.
ufisadi maanake ndo nini.
watanzania wanamchangia mhanga wa mashetani walotaka kumuua halafu unaleta uhayawani hapa.
tumia akili (kama unayo) kuliko kutumia masaburi yako kutoa mada za kijinga humu
dah lissu sio masikini kusema kwamba anashindwa nunua gari hivi ni sawa kabisa kuja kuwanyonya wananchwe unaona sii sawa.
kwa sababu zipi.
ninyi wanawake wa tandale wivu wenu wa kipuuz sana
Limekuchoma wapi nyuma ama vipi, bora kuchangisha kuliko kuibia Wananchi.Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?
Lissu acha kuibia watz ilo lipo wazi wewe umejitosheleza kwa kila kitu bado unakuja mbele ya watu unaomba mchango upate gari jipya kweli kwa masikini hao hao ambao hawana ajira ambao bado hawajajua hatima yao ya kesho bado wanapambana kupata bei mzuri ya kuuza mazao yao mbona unakuwa na tabia za chuma ulete.
Michango ya chadema inakuwa na manufaa kwa viongozi na sio Chama kuna vitu tunatakiwa kuonyesha uzalendo lakini sio kwa kuchangia gari chadema na wanachama wake muwe mnajitathimi michango ambayo mnaieleta kwa wananchi wawa wawachangie
CHADEMA kwa hali mlio fikia hampaswi kuitwa Chama kikuu cha upinzani Tz tunaona wazi kabisa kuwa mnania ya kuwafanya masikini wazidi kuwa masikini zaid
we huna akili mpumbavu wewe.ilo gari halikuwa na bima?