Maumivu yakizidi,pata ushauri wa daktari!Hhahahahaaaa,mmepigwa butwaa kwani hamkutegemea kama wananchi wangejitoa kiasi hicho kuchangia,mlibweteka na maigizo ya Jiwe ya kununua upinzani mkadhani ndio kuwanunua wananchi,shame!Hii ni mbinu ya mafisadi tu, kesho membe atatoa fedha yote kwa kushirikiana na nyalandu pamoja na mfanyabiashara mmoja maarufu.
Lengo hapa ni kuuhadaa umma kwamba chadema inapendwa lakini uhalisia ni kwamba hela ipo na imetoka kwa mfanyabiashara ambaye muda ukiwadia tutamtaja rasmi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, tumeamua kuchangia ili kuionyesha Lumumba kuwa Chadema inakufa hivi punde, si unaona wanachama na wapenzi wa Chadema wamegoma kuchangia, hadi muda huu hakuna hata shilingi iliyochangwa.Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.
Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.
Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.
Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.
Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.
Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
You may have a point.
Ile dhana ya mtu kuwajibika kwa matendo yake inakuwa haipo tena.
Sasa wale wanyonge wanazidi kunyongwa tu, hata kile kidogo wananyang'anywa.
Nasikiaaa mashinji katoka kwa msamaha was Rais😂Cha kushangaza mpokea michango pamoja na MUKYA yupo.
Jamaa noma yupo SEGEREA ila kudhibiti michango kamuweka KIMADAAA.
Kweli wajinga waliwao
Ukweli ni huo mkuu ila wanaomba huruma kwa wapiga kura tuone hawajatendewa haki. "SIASA NI BIASHARA"Kama wewe hauchangii si uache.
Mambo haya na yale ya mwanamaposa hayana tofauti.
Mbona hukuwaambia walioenda kusikiliza hukumu wasingeenda?
Kwenye majanga ya kitaifa mbona tunachangiaga
.Watu wanachanga kuonesha kutokukubaliana na hukumu..! Ni ushenzi na upuuzi ukileta ujinga na kuwaza kitahira watu kuchanga ni kutuma ujumbe kwa maimura.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia MUKYA amekula michango ya MAKAMANDA 🤣🤣Nasikiaaa mashinji katoka kwa msamaha was Rais😂
Watu wazima kiumri walikula rambirambi za kuwasaidia wahanga wa tetemeko Kagera.Tunapompa mtu rambirambi baada ya kufiwa haimaanishi mfiwa hana fedha,ni kuonesha upendo, mshikamano na umoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ale kwani umechanga wewe, nasikia hizi ndizo mnawapelekea wale madiwani was Mbeya waliomua kuunga mkono juhudii za mkono wa chuma 😀,Nasikia MUKYA amekula michango ya MAKAMANDA 🤣🤣