Basi sawa sina la kusema kabisa kama tumuache MUKYA ale tu 🤣🤣Acha ale kwani umechanga wewe, nasikia hizi ndizo mnawapelekea wale madiwani was Mbeya waliomua kuunga mkono juhudii za mkono wa chuma 😀,
Mbona humlaumu anayewanyang'anya if that is a case! Unamfahamu aliyesababisha yote haya mbona humsemi? waache wananchi watumie visenti vyao kunogesha PR ya Chadema. Mmewazuia miaka mitano sasa kufanya siasa, lakini leo mmejikaanga wenyewe kwa kuwafanyia mkakati muovu wa kuwabumbia kesi isiyokuwepo mkidhani mnawakomoa, kumbe mnawatengenezea communication strategy ambayo na bajeti yake mmeitengeneza wenyewe kuwa ya milioni 350. Kwa taarifa yako communication & PR strategy hii ambayo Chadema pengine wangelipa zaidi ya hizi hela, itawa cost sana CCM. na hapo ndipo utajua kuwa kumbe akili ni nywele!You may have a point.
Ile dhana ya mtu kuwajibika kwa matendo yake inakuwa haipo tena.
Sasa wale wanyonge wanazidi kunyongwa tu, hata kile kidogo wananyang'anywa.
Vipi yule aliyejiuzulu Ubunge anajisikiaje haya yanayotokea?Sina muda wa kuchangia wahuni ,matapeli ,wezi na wauaji wakubwa wa Akwilina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujalazimishwa kuchangia na pesa yako unaweza kuipeleka popote unapotaka. CCM mkoa flani wameona ni busara kumchangia mmoja wa waliohukumiwa kwa hiyo sioni maana ya wewe kupigA kelele na kisichokuhusu. Namna ya kuchangia umepewa kama unaguswa tupiamo kama haujaguswa sepa nenda zako kwani nnini sasa alaaaaaaaaSiamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.
Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.
Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.
Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.
Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.
Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
acha wivu, maumivi yakikuzidi mwone dakitariSiamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.
Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.
Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.
Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.
Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.
Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuliko hawa migambo wa jiji chini ya serikali ya mekoYou may have a point.
Ile dhana ya mtu kuwajibika kwa matendo yake inakuwa haipo tena.
Sasa wale wanyonge wanazidi kunyongwa tu, hata kile kidogo wananyang'anywa.
nguvu ya uma imewafanya mufikiri tofauti chezea nguvu ya uma wewe,magu c ana dola atanyooka tu CHADEMA haitopoteaHii ni mbinu ya mafisadi tu, kesho membe atatoa fedha yote kwa kushirikiana na nyalandu pamoja na mfanyabiashara mmoja maarufu.
Lengo hapa ni kuuhadaa umma kwamba chadema inapendwa lakini uhalisia ni kwamba hela ipo na imetoka kwa mfanyabiashara ambaye muda ukiwadia tutamtaja rasmi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi imerudi Nyuma zaid ya kipindi cha wakoloni, pesa nyiiingi zinatumika kunyamazisha watu pesa nyingi imewekezwa kufunga watu midomo, kufunga vyombo vya habari midomo, pesa nyingi inatumika kufanya biashara ya binadamu, na cheo ili upate unatakiwa utumie nguvu ya kusifia au kutukana upande wa pili kiukweli tumeingiliwa na Kwa kuwa wametambua kuwa hawakubaliki wanatumia garama ili kwenye Uchaguzi watu wasiende kupiga kura huku wanahamasishana wao kwa wao kwa kipita nyumba kwa nyumba Na kuandikisha watu haadi namba Ya Kadi Ya kupigia kura na Simu yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawakufanya hayo waliyotiwa hatiani kama watu binafsi bali kama Wawakilishi wa Wapiga Kura wao. Kwahiyo hiyo kuuza mali zao ili kulipa faini haitawatendea haki.Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.
Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.
Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.
Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.
Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.
Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe anakikopeshaga Chama mpaka bilioni 2 na anarudishiwa kutoka kwenye ruzuku. Sasa amefeli wapi au ndo mbinu ya kutakatisha fedha/Money Laundering.Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.
Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.
Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.
Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.
Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.
Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hela CHADEMA kama chama ni kiduchu sana hawawezi kukosa. Mbali na hivyo wahusika wote kwenye hukumu hiyo ni vigogo ambao hata kama wangehukumiwa kulipa mil 100 kila mmoja, bado wasingeshindwa kulipa kutoka kwenye mifuko yao. Wanachojaribu kufanya sasa hivi ni kutafuta hela ya ku-top-up, ambacho ni kitu chema pia,msaada wa baraka kuotka kwenye public. Hivi hizi hela ndiyo zinaweza kuwa ni malipo kwa familia ya Akwilina au ni za Serikali moja kwa moja?Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.
Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.
Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.
Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.
Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.
Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana unakwepa hata kodi?Sina muda wa kuchangia wahuni ,matapeli ,wezi na wauaji wakubwa wa Akwilina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyovyote vile lakini wanahitaji huduma ya haraka kumbuka wako gerezani 'you have to think outside the box not to live with assumptions'Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.
Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.
Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.
Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.
Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.
Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta uzi hebu jiulize: Serikali haishindwi kugharamia mafuta ya ile koroboi inayozunguka nchi nzima (Mwenge). Mbona watu hata wanyonge wanachangishwa na wengine hata kuku zao kushikwa kwa ajili ya kuchangia mafuta ya Mwenge?. Michango hii ni hiari. Hakuna anayelazimishwa kutoa. Inakuuma nini?Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.