CHADEMA kuingia madarakani ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano


😂😂😂😂!



Jumbe Brown ID hizi, haziwafikirishi?
 
Chama cha Mbowe kimekuwa level moja na chauma kwa sasa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena walimfanya Gwajima kama mshenga wao wa kuleta Lowasa chadema
 
Ukiwa huna akili timanu unaweza kuuita uchaguzi ambao CCM uwekwa madarakani, yaani unajifanya hauoni wizi na unyang'anyi wa kura ulivyofanyika, leo unauita uchaguzi na kupongezana eti na kujadili changamoto, ndio maana kodi zangu zinavyotumika kufanya viinimacho inaniuma sana, mmeongeza na matozo kibao, wakati za mwanzo mnajirushia! Ok.
 
In 30 years what have you changed!!..Au Una kula na kulala na kwenda kazini tu?!!

Eti what have you changed!? Wewe umeona tukilialia kama wewe🤣🤣🤣🤣🤣
Sisi tumefanikiwa kuendelea kumkataa fisadi Lowasa katika jaribio lake la kutaka kushika dola, nyie mkanunuliwa na kumwachia mzigo😅😅😅 au huoni mabadiliko hapo😆
 
Aibu wewe mama.

Hii ya chadema ni aibu sana kwa kweli.... hadi huzuni🤣🤣🤣

 
Upara ninao ila lazima wana CHADEMA wanawa hitaji watu kama wewe ili kuweza kupindua meza. Kushindwa uchaguzi kwa asilimia zaidi ya 80 sio mchezo
Unateseka sanaaa na unatumika kama mwanamke malaya kisha kila mtu anamtema mate,kushindwa uchaguzi kwa 80% unamaanisha uchaguzi upi? kama ni ule wa 2020 basi wewe ubongo wako ni makamasi matupu hovyo kabisa na unajua aliehujumu uchaguzi kwa kutumia nguvu za dola polisi na hao usalama wa Taifa yuko wapi saa hizi.
 
Hahhaha... Ila mama d unawafanya hawa jamaa walale na viatu

Wacha walale navyo tuu maana wamekubali kutumika na vibaka.

Huwa najiuliza walipata gawio sh ngap waliponunuliwa? Limewasaidia nini mbona bado wanalialia tuu kila siku!?
 
Lowassa yuko wapi?!!.. Mtoto wake yuko wapi?!!.. Anafanya nini?!!..unajua unachoongea kweli?!!
 
Lowassa yuko wapi?!!.. Mtoto wake yuko wapi?!!.. Anafanya nini?!!..unajua unachoongea kweli?!!

Wewe hujui Lowasa aliko🤣🤣🤣🤣 ukikubali kununuliwa ndio ukubali yatokanayo pia

Lowasa yuko nyumbani anaugua, baada ya chadema kushindwa kumtunza alirudi kuomba radhi na serikali ikamsamehe na kuendelea kumuuguza😆

Na hilo ni jukumu la serikali, hata wewe ukiugua utatibiwa, hata vibaka, majambazi, wafungwa....huwa wanatibiwa na serikali 😃😃😃 Hawawezi kuachwa wafe
 
Ushabiki mgumu sana!!..watu mnaongea msivyovijua kwasababu tumekua na Uhuru huo!!..Vipi Hamza nae mmeamua kumpumzisha!!
 
Nilichojifunza ni kwamba tunapenda matokeo kuliko njia zilizotumika!!..kuna Mwenzako hapa nimemuuliza haya chadema hawezi kuchukua nchi Sawa!!..Nyie vipi mnayo nchi kila siku mbona bado mnanjaa?
 
Kama wewe hulipi Kodi kama lowassa Sawa!!..Kama na wewe unalipa Kodi basi inabidi utafakari jinsi yako ya kufikiria!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…