Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Endelea kutulipa Kodi na Tozo huku maisha yakiendelea kuwavuluga!!.... CCM oyeeeNimegundua hujielewi kiasi kwamba sikutakiwa hata kukujibu
Hakuna ninalojifunza kwako na wala hufundishiki.... sasa nimekupuuza rasmi
Kura za kuichukia CCM badala ya kura za kuipenda CHADEMA...Hichilema wa Tanzania ni nani.
Tatizokubwa la vyama vya siasa Tanzania ni kukosa mikakati. Kuanzia miaka ya tisisni tumekuwa tunashangilia nchi nyingine wanapoondoa chama tawala na kujifariji kuwa na sisi zamu yetu inafuata lakini wapi.
(1) Chiluba alimshinda Kaunda tukasema hayo hayo kuwa na sisi twaja.
(2) Bakili Muluzi alimshinda Banda huko Malawi na sisi tukajipa moyo kuwa zamu yetu inafuata,
(3) Kenya waliiondoa KANU madarakani tukashangilia kuwa zamu yetu yaja.
(4) Huko Malawi na Zambia wameshabadilisha vyama mara nyingi tu na kila siku sisi tumekuwa tunajifariji kuwa zamu yetu yaja.
CHADEMA wanategemea kura za watu kuichukia CCM badala ya kutegemea kura za watu kuipenda CHADEMA. Ushindi wa namna hiyo ni mgumu sana
Tutasubiri sana
Hata kama silipi kodi siwezi kufanya matangazo popote maana ni ulimbukeni kuja mtandaoni kutangaza kwamba hulipi kodi
Nimegundua hujielewi kiasi kwamba sikutakiwa hata kukujibu
Hakuna ninalojifunza kwako na wala hufundishiki.... sasa nimekupuuza rasmi
Endelea kutulipa Kodi na Tozo huku maisha yakiendelea kuwavuluga!!.... CCM oyeee
Umeumia sanaHata kama silipi kodi siwezi kufanya matangazo popote maana ni ulimbukeni kuja mtandaoni kutangaza kwamba hulipi kodi
Nimegundua hujielewi kiasi kwamba sikutakiwa hata kukujibu
Hakuna ninalojifunza kwako na wala hufundishiki.... sasa nimekupuuza rasmi
Mimi niumizwe na vitu vya kijinga kama wewe?? ππππUmeumia sana
Mwaka huu tutaona mengi unyanyasika lakini ni Sawa ndivyo ulivyoumbwa!!Huu ulimbukeni hautakuacha salama
CCM HOYEEEEE
KODI KWA MAENDELEO YA TAIFA
Umekula lakini?Mimi niumizwe na vitu vya kijinga kama wewe?? ππππ
Uchambuzi wako ni duni sana, panua akili sio Masaburi!Wana bodi,
NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni vyema kama tukiji uliza swali lingine. Tangia mfumo wa vyama vingi ku anza Tanzania, je ilishawahi kutokea kwa chama cha upinzani kushindwa uchaguzi kwa sababu ya katiba au tume tuliyo nayo ya uchaguzi?
Nafikiri tukitafakari na kujiuliza maswali haya, tuta gundua kwamba kwa kiasi kikubwa, wahusika wote hawaku pata ridhaa ya wananchi.
Tuki jaribu kuangalia kama chama chenyewe kina kubalika na watanzania walio wengi tuna gundua kwamba kuna mambo mengi muhimu zaidi kuliko tume huru au katiba mpya vinavyo weza kuwa saidia kuwa na msingi nchini kwote. Ni muhimu kwa wao ku elekeza nguvu kazi kwenye kujenga chama chao kwanza
Umekula lakini?
Jitahidini tu hata kumpa vilevile majina mengi ya kumtukuza na kumwabudu, bado nae atapita.Kujivunia NDIO, hata sasa! Ila kumwabudu big NO
JPM atabaki kuwa Mwamba Shujaa na rais wa karne. Ameenda ila bado anawapeleka mbio.... KAZI INAENDELEA na ironladyππͺ
Hutaki kwenda mbio hama nchiπ€£π€£π€£π€£

Sasa kwa nini wakati wa uchaguzi mnafukuza mawakala wa upinzani, mnaweka wasimamizi wa chama lenu, bado mnakuja na mabox feki ya kura? Why??? Hizo ndizo akiri kwa tafsiri yako eh?Tanzania hakuna wapinzani kuna waropokaji na wapayukaji tu, lazima uelewe usijifanye kilaza [emoji23][emoji1787]
Ushauri wa bure waanze kwenye mashina huko ndiko kuna wapiga kura huku mjini tunakuja kila siku kushinda nyuma ya keyboard lakini wapiga kura tunawaacha nyumbani kina mama vijana wasio na kazi na wengine sasa vurugu tunazifanyia jf badala ya kupambana na mashinaniUpara ninao ila lazima wana CHADEMA wanawa hitaji watu kama wewe ili kuweza kupindua meza. Kushindwa uchaguzi kwa asilimia zaidi ya 80 sio mchezo
ukuje ARACHUGA mamake missin u sana nimeukumbuka utam wako MAMA D π πNa Utaendelea kuumiss sababu nimegundua nguvu huna wala uwezo huna pia
ππππ
Jitahidini tu hata kumpa vilevile majina mengi ya kumtukuza na kumwabudu, bado nae atapita.
Lakini watanzania tunaoendelea kupigania 'uhuru, haki na maendeleo ya kweli' kwa TAIFA letu, tutaendelea kuwepo.
Dada,hatutakiwi kujivunia nchi yetu kuendeshwa kwa 'kupelekana mbio', bali kwa kufuata KATIBA ambayo pia Viongozi waliapa kuilinda.
ukuje ARACHUGA mamake missin u sana nimeukumbuka utam wako MAMA D π π
Njozi njema Dada mpendwa.JPM anakupeleka kasi hata akiwa kaburiniπ π
huyu kibaka wa kura ni wa kusikiliza kweli? kwenye kura za maoni CCM alipigwa vibaya mno akabebwa na babake mwendazake, kwenye kura za jimbo alipigwa vibaya mno akabebwa na Tume ya uchaguzi. Yaani kwa Shinyanga hakuna asiyejua haya.Wana bodi,
NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni vyema kama tukiji uliza swali lingine. Tangia mfumo wa vyama vingi ku anza Tanzania, je ilishawahi kutokea kwa chama cha upinzani kushindwa uchaguzi kwa sababu ya katiba au tume tuliyo nayo ya uchaguzi?
Nafikiri tukitafakari na kujiuliza maswali haya, tuta gundua kwamba kwa kiasi kikubwa, wahusika wote hawaku pata ridhaa ya wananchi.
Tuki jaribu kuangalia kama chama chenyewe kina kubalika na watanzania walio wengi tuna gundua kwamba kuna mambo mengi muhimu zaidi kuliko tume huru au katiba mpya vinavyo weza kuwa saidia kuwa na msingi nchini kwote. Ni muhimu kwa wao ku elekeza nguvu kazi kwenye kujenga chama chao kwanza
hujaridhika na show etiee π π ππͺHuna nguvu wala uwezo nifate nini tenaππ