CHADEMA kususia sherehe za Uhuru ni kukosa uzalendo. Hii ni kuthibisha kuwa hamfai kukamata Dola

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu

Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
 
Define uhuru.
 
Uzalendo ni nini ?
 
Lile kusanyiko la wenye roho mbaya pale uwanja wa Uhuru ndo wazalendo wale? Watu wanaadhimisha Uhuru wa nchi ambayo haijawahi kupata uhuru ??
 
Magufuli ambaye aliamua kabisa kutokufanya sherehe za kusherehekea uhuru na fedha kusema zitumike kujenga barabara ya mwenge hadi moroko halafu baadae tunaambiwa barabara hiyo ya mwenge moroko imejengwa kwa fedha za msaada kutoka Japan yeye atakuwa msaliti wa kiwango gain? Huyo gaidi aliyepo motoni jiwe
 
Unafiki unatusumbua sana watanzania. Wameisha sahau
 
Kwani kuna kiongozi yeyote wa vyama vya upinzani aliyeenda
 
Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu

Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
Kiongoozi mkuu yuko magereza alf chadema waazimishe uhuru kwa kipi asa mwl.j.k. nyerere alisema hatupingi mkoloni kutokana na rangi yake tunapinga mkoloni kutkn na matendo yake mwisho wa kunukuu..
 
Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu

Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
akili matope,mwili umevalishwa housing Ila ndani matope
 
Mastermind wao sio mzuri kwenye strategies ... wangeenda ingekua advantage sana kwao kisiasa kuliko kutokuwepo
 
Back
Top Bottom