Wameonesha sio wakomavu wa kisiasa.
Wewe uliyesheherekea sherehe hii nini kielelezo cha ukomavu wako?? Baada ya kusheherekea, jambo gani la maana limebadilika tofauti na 08/12/2021???
Tuko milioni 60, waliokuwa taifa ni chini ya 100,000. Unasemaje kuhusu hao milioni 60 ambao hawakwenda taifa??? Nao hawajakomaa kisiasa??
Akili ndogo huwaza vitu vidogo kama uwazavyo!! Onesha hapa walikaribishwa na hawakufika!!