CHADEMA kususia sherehe za Uhuru ni kukosa uzalendo. Hii ni kuthibisha kuwa hamfai kukamata Dola

Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu

Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
Toa upuuzi hapa! Kwa nn na nyie ccm mnakosa kutambua haki za vyama vingine vya siasa! Likija suala la umoja mnawatuhumu wengine likija suala la madaraka mnakuwa vipofu..shenzi zenu..chadema msishirikiane na hao wapuuzi tena msusie kila aina ya warsha na chaguzi had wajue nini mana ya kuheshimu haki za wengine pia
 
Kwani CHADEMA waliposhiriki sherehe za Uhuru kule Mwanza wakaomba maridhiano walipata faida gani zaidi ya kudhulumiwa kwenye uchaguzi na kubambikiwa kesi za ugaidi!?
 
Kwani dola unayoisema unapewa kama pipi? Ni nani anatoa kisa kuwa na adabu? Acha hoja za kijinga!
Kwa hiyo nao washike mtutu kama Taleban ili wachukue nchi!? Muingereza aliwapa nchi kwa mtutu!?
 
Ndiyo maana wanashindwa vibaya kwenye chaguzi. Adui wao ni wao wenyewe. Hawajui maeneo kama hayo ni sehemu ya kuongeza ushawishi kwa umma na ushawishi kimataifa. Chama kimeishiwa akili.
Kwani mkiwepo nyie haitoshi!? Punguzeni gubu.
 
Ndiyo maana wanashindwa vibaya kwenye chaguzi. Adui wao ni wao wenyewe. Hawajui maeneo kama hayo ni sehemu ya kuongeza ushawishi kwa umma na ushawishi kimataifa. Chama kimeishiwa akili.
Uchaguzi gani?
 
Wamekwenda pale saccos kujazana ujinga, eti wataidai katiba mpya kwa jasho na damu. Wataanza mikoani, mpaka vyuoni.Wanadai gaidi hakupaswa afungwe, bali wao ndio waipaswa kuwa segerea na ukonga. Upuuzi mtupu.
Usisahau kufuatilia, ratiba mpya ya kufanya usafi na kulinda malaloni Burigi imeshatoka.
 
Mngekuwa mnahangaika na kubumba kesi kama za watoto?
 
Kwa hiyo nao washike mtutu kama Taleban ili wachukue nchi!? Muingereza aliwapa nchi kwa mtutu!?
Unalengo nijumuhishwe kwe ile kesi? Sina lengo hilo, njia ni nyingi za kidemokrasia kuweza shika dola, ila juhudi zaitajika ili kuweza kuzitumia!
 
Ulitaka kiongozi wa kitaifa yupi aje kwenye sherehe wakati Mkt wao Taifa mmemshikilia gerezani? Ulitaka Lissu asafiri toka Ubelgiji kwa ajili tu ya kuja kwenye sherehe za uhuru? Ulitaka Mnyika aache kuhangaika na kesi ya Mbowe aje kugongesha glass na watu waliomkamata?
Kwanza Uhuru tunaosherekea sasa si uhuru wa wapinzani bali ni Uhuru wa ccm na wanachama wake lakini lakini wapinzani bado wako chini ya mkoloni mweusi!
Siku ya Uhuru mwaka 1961, ilishushwa bendera ya mkoloni ikapandishwa bendera ya taifa, Siku zote CCM imekuwa ikiamuru kushushwa kwa bendera za CHADEMA na kupandishwa zile za ccm hayo matendo yanaashiria wazi kuwa wapinzani uhuru bado hawajaupata, Hivyo hata kushiriki sherehe za uhuru ni sawa na unafiki dhidi ya nafsi zao wenyewe hivyo walichofanya nkutoshiriki sherehe hizo ni sahihi kabisa kwakuwa uhuru wa nchi yetu ccm ilishajimilikisha!
Ahsante sana
 
Kiongoozi mkuu yuko magereza alf chadema waazimishe uhuru kwa kipi asa mwl.j.k. nyerere alisema hatupingi mkoloni kutokana na rangi yake tunapinga mkoloni kutkn na matendo yake mwisho wa kunukuu..
Viongozi wengi wa upinzani Wana kesi mahakamani, kuwalazimisha kulingana na watesi wao wanao watuhumu kutokuwa wazalendo, utu wako una mashaka.
 
Ulitaka kiongozi wa kitaifa yupi aje kwenye sherehe wakati Mkt wao Taifa mmemshikilia gerezani? Ulitaka Lissu asafiri toka Ubelgiji kwa ajili tu ya kuja kwenye sherehe za uhuru? Ulitaka Mnyika aache kuhangaika na kesi ya Mbowe aje kugongesha glass na watu waliomkamata?
Kwanza Uhuru tunaosherekea sasa si uhuru wa wapinzani bali ni Uhuru wa ccm na wanachama wake lakini lakini wapinzani bado wako chini ya mkoloni mweusi!
Siku ya Uhuru mwaka 1961, ilishushwa bendera ya mkoloni ikapandishwa bendera ya taifa, Siku zote CCM imekuwa ikiamuru kushushwa kwa bendera za CHADEMA na kupandishwa zile za ccm hayo matendo yanaashiria wazi kuwa wapinzani uhuru bado hawajaupata, Hivyo hata kushiriki sherehe za uhuru ni sawa na unafiki dhidi ya nafsi zao wenyewe hivyo walichofanya nkutoshiriki sherehe hizo ni sahihi kabisa kwakuwa uhuru wa nchi yetu ccm ilishajimilikisha!
Asante kwa hoja yako nzuri iliyojaa na manukato.
 
Back
Top Bottom