John Manoni
JF-Expert Member
- Sep 5, 2020
- 244
- 167
Uhuru wa Tanzania au Tanganyika?Wameonesha sio wakomavu wa kisiasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuru wa Tanzania au Tanganyika?Wameonesha sio wakomavu wa kisiasa.
Mbona mnahangaika sana huo umaster mind wapelekeeni tade,nld,chausta,updp n.kMastermind wao sio mzuri kwenye strategies ... wangeenda ingekua advantage sana kwao kisiasa kuliko kutokuwepo
Kwamna nawe umefikiriii? 😁😄Uhuru wa Tanzania au Tanganyika?
Labda Momose Cheo na Lyatonga.Siku hizi Hadi Lipumba haviivi na enzi wa kijani!Kwani kuna kiongozi yeyote wa vyama vya upinzani aliyeenda
Sasa kama CCM wamemuweka Mwenyekiti jela, Makamu exile.... Hapo kuna cha kurehekea kweli....!!Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu
Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
Unaondoka nyumbani kwako kwenda kwenye sherehe za uhuru wakati kila siku wewe unanyimwa uhuru na waandaa sherehe,pia kiongozi wako yuko ndani kwa sababu za kisiasa basi wewe utakuwa mpumbavu na mkoswa uzalendo.Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu
Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
For what?Being Independent
kiongozi wa kitaifa si mmempeleka gelezani kwa kosa la kuchonga, shida yenu si mnataka mtawale mtakavyo, msishauliwe, msikumbushwe utawala wa sheria na demokrasia, basi endeleeni na mambo yenu na wao waacheni - yaani tuonavyo sisi hamko tofauti na wakoloni though wakoloni hawakuua na kuumiza watu kwa kiasi hiki.Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu
Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
Ushawishi wa kusifia na kuabudu ni ushawishi????? Roho mbaya haijengi.Ndiyo maana wanashindwa vibaya kwenye chaguzi. Adui wao ni wao wenyewe. Hawajui maeneo kama hayo ni sehemu ya kuongeza ushawishi kwa umma na ushawishi kimataifa. Chama kimeishiwa akili.
Ulitaka kiongozi wa kitaifa yupi aje kwenye sherehe wakati Mkt wao Taifa mmemshikilia gerezani? Ulitaka Lissu asafiri toka Ubelgiji kwa ajili tu ya kuja kwenye sherehe za uhuru? Ulitaka Mnyika aache kuhangaika na kesi ya Mbowe aje kugongesha glass na watu waliomkamata?Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu
Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
Mnawaita magaidi halafu mnawalaumu kutohudhuria ...Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu
Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
Sherehe hizi ni kuadhimisha kuondokana na ukoloni. Uhuru ni neno pana zaidi ya hii sherehe.Define uhuru.
What about being free?Being Independent