Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Unaweza niambia tofauti ya Freedom na Independence?Being Independent
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza niambia tofauti ya Freedom na Independence?Being Independent
Momose CheyoKwani kuna kiongozi yeyote wa vyama vya upinzani aliyeenda
Lawama kama hizo pia zilikuwa zikitolewa na utawala wa makaburu dhidi ya viongozi wa ANC. Yaani katika lindi la ubaguzi wa rangi halafu unategemea viongozi weusi waweze kusheherekea pamoja nao! Huo utakuwa ni unafiki wa kiwango cha "rover" iliyotua katika sayari ya Mars.Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu
Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
Chadema ipi unayoizungumzia? Ni ile ambayo kila siku unahubiri kuwa imekufa?Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu
Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
Huyo si walisema ni team Lumumba BS FC kwa hiyo hahesabiki! (Jokes)Mnyika alikuwepo!
Mada inayohusu CHADEMA kufika uwanjani?Jikite kwenye mada.
Why bother now?Walking dead political party
Kwani Chadema ipo..?!
Mlivyojipitisha bila kupingwa ni uzalendo? Mlivyoagiza Wakurugenzi wakimbie fomu za wapinzani ni uzalendo? Mlivyoagiza uchaguzi wa serikali za mitaa uwe kijani tu ni uzalendo? Mlivyotaka Bunge liwe la kijani tu ni uzalendo? Mlivyoapa "atake asitake" atakuwa Rais wa Maisha ni uzalendo? Kwenu uzalendo ukoje hasa?Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu
Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
Pengine ACT wameshiriki mmewapa dola?Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu
Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.