Define uhuru.Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu
Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
Uzalendo ni nini ?Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu
Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
Lile kusanyiko la wenye roho mbaya pale uwanja wa Uhuru ndo wazalendo wale? Watu wanaadhimisha Uhuru wa nchi ambayo haijawahi kupata uhuru ??Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu
Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
Kwa Tz uzalendo ni kufata matwaka au maagizo ya chama tawala au kiongozi aliepo madarakani pasipokujar kama yana madhara au faida kwa nchi. Ndio maana hakitoea mtu/kikundi cha watu kikapinga/kukosoa kwa maslai ya nchi huitwa sio wazalendo, wanatumiwa na mabeberu.Uzalendo ni nini ?
Unafiki unatusumbua sana watanzania. Wameisha sahauMagufuli ambaye aliamua kabisa kutokufanya sherehe za kusherehekea uhuru na fedha kusema zitumike kujenga barabara ya mwenge hadi moroko halafu baadae tunaambiwa barabara hiyo ya mwenge moroko imejengwa kwa fedha za msaada kutoka Japan yeye atakuwa msaliti wa kiwango gain? Huyo gaidi aliyepo motoni jiwe
Kiongoozi mkuu yuko magereza alf chadema waazimishe uhuru kwa kipi asa mwl.j.k. nyerere alisema hatupingi mkoloni kutokana na rangi yake tunapinga mkoloni kutkn na matendo yake mwisho wa kunukuu..Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu
Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
akili matope,mwili umevalishwa housing Ila ndani matopeHatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu
Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili kupata kukamata dola.
Kwani Chadema ipo..?!Kama kweli wamefanya hivyo wamekosea.