CHADEMA kususia sherehe za Uhuru ni kukosa uzalendo. Hii ni kuthibisha kuwa hamfai kukamata Dola

Wameonesha sio wakomavu wa kisiasa.

Wewe uliyesheherekea sherehe hii nini kielelezo cha ukomavu wako?? Baada ya kusheherekea, jambo gani la maana limebadilika tofauti na 08/12/2021???

Tuko milioni 60, waliokuwa taifa ni chini ya 100,000. Unasemaje kuhusu hao milioni 60 ambao hawakwenda taifa??? Nao hawajakomaa kisiasa??

Akili ndogo huwaza vitu vidogo kama uwazavyo!! Onesha hapa walikaribishwa na hawakufika!!
 
Ndo umejiona unaakili kubwa hapo? Hopeless unajua maana ya samples ama at least maana ya representatives? Siku nyingine ukija uje na adabu.
 
Uhuru ni Jambo pana Sana, mm binafsi sioni Kama Tanzania Kuna uhuru
 
Utajuta kuzaliwa. Tunataka katiba mpya
 

Kwani mlikuwa mmepanga kuhalalisha nini kisichokuwapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…