Chadema kutumia watu wasiojulikana kutukana viongozi sio ustaarabu wa kisiasa

Kws
Mil 360 ila kuna deni hewa analipwa Mbowe mil 90 kila mwezi. Muulize Mh Waiyara anajua mengi.

Kwani huyu mbowe ni mume wenu? Kila mtu mboe mboe...

Unajisikiaje kusema mtu amekula ela na wala hakamatwi na cig ametoa hati safi

But pia unataka akale wapi? Coz hadi jela amekaa kwa ajili ya chama so sio mbaya
 
Kws

Kwani huyu mbowe ni mume wenu? Kila mtu mboe mboe...

Unajisikiaje kusema mtu amekula ela na wala hakamatwi na cig ametoa hati safi

But pia unataka akale wapi? Coz hadi jela amekaa kwa ajili ya chama so sio mbaya
Matusi ya nini kamanda. Wewe inawezekana anakutia madole hapo ulipo sasa hivi.
 
Matusi ya nini kamanda. Wewe inawezekana anakutia madole hapo ulipo sasa hivi.

Sio matusi.... yan chadema yote ww hakuna mtu unamuona zaid ya mbowe.. kwani chadema ina mtu mmoja tu?

Tuache mambo ya kitoto lete fact lete hoja mzito sio unakuja na mambo mepesi tu

Kuna sehemu gani watu hawapigi ela? Nenda kasome ripot ya cig uone watu walivyojenga kisima kwa bilion 5

Ww unapiga kelele za milion 90
 
Madole yamekukolea? Kwani mil 90 ni pesa kidogo? Tulia akupige madole vizuri.
 
Unaweza na kulinganisha bilion kujenga kisima ambacho hakina maji? Kwenye bilions kuna 900 ngapi ? Acha uzoba ww
Zoba wewe unaepigwa madole wakati wajanja wanakula mpunga wa ruzuku kiulaini.
 

Hao viongozi ww huoni wakibambikizia kesi, wakinajisi chaguzi za nchi, wakinyima haki za wengine za kisiasa? Au kwakuwa una maslahi na hizo hujuma hapo unaingiwa na upofu, ila macho yako yanaona tu hao viongozi wanapopata mrejesho wa udhalimu wao? Uko ccm, japo unajifanya uko NCCR ukidhani itakuwa na mvuto, lakini umeona ccm na hiyo Nccr hazina mvuto humu mitandaoni, kwa ajili ya nongwa unaona uichafue cdm. Acha siasa za kipuuzi dogo.
 
Too late kuifuta chadema.Imeshaingia kwenye uwili yaani ukitaja ccm lazima chadema uitaje.Kama opposite ya ccm.
 
Mkuki kwa nguruwe bwana asikwambie mtu eti ehe.. Kwa hiyo nyie kuwanunua wabunge na makada wao wenye njaa kali ndio ustaarabu? shubaamit!! Naona kama haitoshi mmefika hatua ya kuwapa na ubunge wasiostahili ubunge..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…