Pre GE2025 CHADEMA kuweni macho na Wenje Ezekiel, huyu ni pandikizi la CCM, deal naye perpendicularly!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkuu kama uko kwenye kutafuta mume miye nimeoa.

Wapi unaponihusisha na lolote uliloandika hapo ndugu?

Kwamba umenituhumu bila ushahidi, kumbe zezeta mbende mbende atakuwa nani zaidi yako?

imhotep hebu kagua huyu. Atakosa angalau kibiongo kweli huyu?
 
My concern ni hiyo. Huu ni wakati wa vita, mko kwenye mapambano wewe unazua jambo ambalo litawagawanya. HAPANA huyu hafai katu!
 
Chama chetu ni Chama cha DEMOKRASIA 👈na MAENDELEO
 
Itakuwa pesa za Abdul zimemfikia anataka kumfuata Msigwa wakaimbishwe pambio za mamabdul
Kwanza siju uyu Msigwa wajukuu zake ,amewatengenezea historia gani, uyu bwana kabomoa heshima yake kubwa aliyoitengeneza wenda kwa jasho na dam kwa siku moja tu, !
 
Nakutoa Mashaka, hakuna jambo la gizani litakalofanyika iwe ikulu au Uraiani la kuhujumu Chadema tusilijue
 
Acha agombee akipigwa tutajua mwelekeo wake. Na kisaikolojia Sasa hivi tuko vizuri Kwa kuwa tunajua CCM wako bize sana Kwa hili na vikao vyao tunaviona. Wanaitaja Chadema kila uchao. Badala ya kuangalia matatizo waliyonayo.
 
Mbona Lissu ametangaza kugombea Urais na hakuna aliyesema anavuruga chama?
1. Lisu ni ngazi ya taifa, anapambana na Samia/CCM. Huko hakuna kinachoweza kuivuruga chadema.

2. Kwangu mimi, my personal conviction, Lisu ni mfia chadema, risasi zote mwilini ni kwa ajili ya chadema. ana nia thabiti ya kuijenga chadema. Hizi ni chaguzi za Urais hazina nafasi ya usaliti wa mtia nia!!
 
Hakika
 
Acha agombee akipigwa tutajua mwelekeo wake. Na kisaikolojia Sasa hivi tuko vizuri Kwa kuwa tunajua CCM wako bize sana Kwa hili na vikao vyao tunaviona. Wanaitaja Chadema kila uchao. Badala ya kuangalia matatizo waliyonayo.
Ni mda anaejijua kwamba amekua Yuda ndani ya chadema kwa sasa kuondoka mapema kabla mkono wa Bwana kushuka juu yao , Chadema kwa sasa ipo mda sahii ,wakati sahii sana , asema Bwana na mwenye hila hovu kwa wakati huu Bwana atasemezana naye kwa sauti kuu bila kutojali umaarufu wake, cheo chake n.k tunzeni hii
 
CHADEMA kama mnashindwa mitihani midogo ya kidemokrasia mtaweza kuongoza nchi? Si mtakuwa mnafunga watu jela hovyo hovyo? Hakika hiki chama bado kina laana ya hawara wa Dr Slaa. Mkamwombe radhi.
Mbona nyie mnawateka ,mnawabambikia kesi,mnawapoteza na wengine mnawapiga risasi kama mlivyofanya kwa Tundu Lissu? Au mnafikiri hatujui kwanini January katumbuliwa tena kwa hisia tu? CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu.
 
Nisimacho ukipewa pesa na ccm kula tu maana kwanza ni jasho lako ila waonyeshe kwa vitendo kwamba wewe sio nyanya za kununuliwa mafungu
 
Sio kweli ,acha uchonganishi , lissu kwanza hata nafasi hii aliombwa , Mwamba hana tamaa na ujinga wa vyeo ,yeye haki, hata kwenye Urais amesikika akisema kwamba nia ipo endapo chama chake kitampitisha , lakini pia wananchi wakiridhia, zipo kauli za kutumia hata kama upo na nia flani , ila sikiliza maneno ya Wenje.
 
Lissi is Mr Clean. Ukimchafua unachafuka mwenyewe.

Angekuwa na Tamaa angekuwa Waziri Mkuu Ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…