CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

KESHO TUTAJUA!
MIMI NAKWAMBIA HII NI JF NO STONE WILL BE LEFT UNTURNED!
Unajua hawajui kuwa zamani hakukuwa na mitandao kama huu na hivyo hata haya yote tusingekuwa tunayajadili hapa zaidi ya UHURU,MZALENDO na ama kujikita na REDIO MBAO MKULIMA YAKO TUKISIBIRI USANII NA HOTUBA ZA MWALIMU NA HUKU TUKISUBIRI ACHEKE ILE CHEKA YAKE MAARUFU!
KUMBE BANA NDO SIRI ZENYEWE HIZO ZA JESHI NA KUMWAGA DAMU!
 
Chacha Wangwe kasema kuwa ni Mbowe ndio aliyesema aondolewe sio kamati kuu, Ameahidi kukata rufaa na kulifikisha suala hili kwa wanachama waujue ukweli, kwani anasema ni uchaguzi unaokuja ndani ya Chadema ndio chanzo ya yeye kuondolewa habari yake iko www.majira.co.tz na amepinga uamuzi huo wa yeye kuondolewa nafasi ya umakamu wa Mwenyekiti.

Ushahidi mwingine ni barua iliyoandikwa na Mbowe iko kwa Mwanakijiji www.klhnews.com ikieleza kuondolewa kwa Wangwe, Katibu mkuu wa Chadema namiini angefaa kutoa taarifa hiyo au Katibu mwenezi kuipeleka kwenye vyombo vya habari. au katibu wa kamati kuu iliyofanya maamuzi kama inavyodaiwa na wanamuunga mkono Mbowe ingeandaa waraka huo sio Mwenyekiti Mbowe ambaye ana bifu la muda mrefu na Wangwe.

Kitila Mkumbo.

sio busara kusema kuwa Chacha ulikuwa mzigo hata kama wewe uko kwa Mbowe, huyu kiongozi hakujipa uenyekiti ameanza kwenye ubunge akakubaliwa na wana Chadema wenzake, akaenda mkoani akapita nako akaja kwenye umakamu wa Mwenyekiti amepita nako, inawezekana angeomba na Uenyekiti nako angepita, ukiona mtu anakataa kujiuzulu kwa kulazimishwa kama mlivyofanya basi ujue na points anazoziamini. au anajua kaonewa, wakina Lowasa hawakuwa na courage hii.

kama unasema ni mzigo kwa kauli hii una maana huko jimboni kwake walimchagua wajinga?, mkoani nako wajinga hadi wajumbe wa baraza kuu walimchagua ni wajinga isipokuwa wewe na kikundi kidogo cha Mbowe au nyie mnaoingia kwenye JF ndio weredi?

kama unaona Wangwe ni mzigo naomba wewe gombea ubunge 2010 tuone kama utapata kura alizopata Chacha au kama unaweza hata kuwa mshindi wa pili.

kwa hili naona Wangwe mmeamua kumburuza na yeye anajua haki na demokrasia ya kuamini anachokijua.

Itakumbukwa kuwa ni Chacha aliyepinga Zitto kushiriki kamati ya madini kwa vile kuna wana ccm wengi kwenye kamati ile, na Mbowe na wengine waliridhia kuwepo kwa Zitto, lakini leo anageuziwa kibao Chacha kuwa ni mtu anayeshirikiana na wana ccm.
 
MBAYA ATAJIFICHA WAPI MBELE ZA UCHAMBUZI WA JF?

Kuna watu hawaamini kuwa jf itawasaidia watanzania kujua kila kitu ili wamchaguwe kiongozi anaye wafaa?!

NA HUU NI UJUMBE WANGU KWA WATANZANIA!

MUSISIKILIZE JINA WALA CHAMA!

KAMA HAKUNA ATAKAYESEMA MAFISADI WAKAMATWE NA KUMAANISHA HIVYO...THEN HAIJALISHI ATASEMA NINI.

Hata kama akisema yeye ni MUNGU...MSIKUBALI!

SWALI LA KWANZA.....
MAFISADI WAKAMATWE AMA WASIKAMATWE.

YULE AMBAYE HATASEMA HIVYO...HAIJALISHI KUWA NI CHACHA AMA NI MBOWE....HAFAI!

TUTAWAONYESHA HAPA KWA UCHAMBUZI NDO KWENYEWE!
 
Waswahili wana msemo wao lisemwalo lipo,sasa sijui Wangwe huwa anapita humu? angepata elimu ya bure.
 
Chacha Wangwe kasema kuwa ni Mbowe ndio aliyesema aondolewe sio kamati kuu, Ameahidi kukata rufaa na kulifikisha suala hili kwa wanachama waujue ukweli, kwani anasema ni uchaguzi unaokuja ndani ya Chadema ndio chanzo ya yeye kuondolewa habari yake iko www.majira.co.tz na amepinga uamuzi huo wa yeye kuondolewa nafasi ya umakamu wa Mwenyekiti.

Ushahidi mwingine ni barua iliyoandikwa na Mbowe iko kwa Mwanakijiji www.klhnews.com ikieleza kuondolewa kwa Wangwe, Katibu mkuu wa Chadema namiini angefaa kutoa taarifa hiyo au Katibu mwenezi kuipeleka kwenye vyombo vya habari. au katibu wa kamati kuu iliyofanya maamuzi kama inavyodaiwa na wanamuunga mkono Mbowe ingeandaa waraka huo sio Mwenyekiti Mbowe ambaye ana bifu la muda mrefu na Wangwe.

Kitila Mkumbo.

sio busara kusema kuwa Chacha ulikuwa mzigo hata kama wewe uko kwa Mbowe, huyu kiongozi hakujipa uenyekiti ameanza kwenye ubunge akakubaliwa na wana Chadema wenzake, akaenda mkoani akapita nako akaja kwenye umakamu wa Mwenyekiti amepita nako, inawezekana angeomba na Uenyekiti nako angepita, ukiona mtu anakataa kujiuzulu kwa kulazimishwa kama mlivyofanya basi ujue na points anazoziamini. au anajua kaonewa, wakina Lowasa hawakuwa na courage hii.

kama unasema ni mzigo kwa kauli hii una maana huko jimboni kwake walimchagua wajinga?, mkoani nako wajinga hadi wajumbe wa baraza kuu walimchagua ni wajinga isipokuwa wewe na kikundi kidogo cha Mbowe au nyie mnaoingia kwenye JF ndio weredi?

kama unaona Wangwe ni mzigo naomba wewe gombea ubunge 2010 tuone kama utapata kura alizopata Chacha au kama unaweza hata kuwa mshindi wa pili.

kwa hili naona Wangwe mmeamua kumburuza na yeye anajua haki na demokrasia ya kuamini anachokijua.

Itakumbukwa kuwa ni Chacha aliyepinga Zitto kushiriki kamati ya madini kwa vile kuna wana ccm wengi kwenye kamati ile, na Mbowe na wengine waliridhia kuwepo kwa Zitto, lakini leo anageuziwa kibao Chacha kuwa ni mtu anayeshirikiana na wana ccm.

ATAKACHOSEMA ZITTO KESHO NDIO KITAKACHO AMUA AMA KUTUFANYA TUJUE KAMA NANI NI NANI NA KWANINI.
Hatutaki majina hapa!
Kwani hamjui hata jf kuna vichwa?
Ama mnafikiri kwa vile nyie ni viongozi basi kila mtu mjinga?
Nendeni BUNGENI MSTULETEE HAYA.
Propaganda za nini?
Nani anataka nini?
kwa kuvuruga mjadala wa UFISADI...TUNAJADILI CHADEMA!
WHO CARES ABOUT CHADEMA?
Ama kwa vile wana UHAKIKA HAKUNA CHA MGOMBEA BINAFISINA HIVYO WANA OVERCONFIDENCE?
WEKENI UKWELI HAPA TUTAJUA NANI KAONEWA NA KWANINI!
HATA WEWE WANGWE UACHE UNAFIKI WA KUSEMA UKABILA UKABILA!
KAMA UKABILA UNAFANYA NINI HUKO?
MBONA HUKUJITOA KABLA KAMA UNA PRINCIPLE?
HATUTAKI SIASA ZA KICHANGUDOA TENA!
TAIFA HILI HATUTAKUBALI LIRUDI KWA MFISADI!
 
Nimesikitishwa sana na UAMUZI WAO WA KUMUONDOA SASA HIVI!
KWA NINI HAMUKUFANYA BEFORE?

KAMA mnafikiri na sisi ni BOGUS...BASI MMEKOSEA.

Hayo makosa aliyoyafanya na kupelekea kufukuzwa...Kama ni mapya mseme.

Lakini kama ni yale ya zamani ambayo yalisababisha mfikie kukataa kumpa umakamu...Then kwanini muyalete sasa?

Ok....Kakosea...WHY NOW?

Kama kufukuzwa kwake ni kwasababu nyingine then mseme.

Ama na yeye kama PANDIKIZI..PIA TUTAJUA.

Ila nilimsikia akihojiwa na MKJJ.

Kuhusu EPA nk.

Tunataka tusikie kauli zenu bungeni kwani ni bunge ambalo mnawatumikia wananchi na si kwenye vyama ambako kuna maslahi!
Msiwe kama ccm.

Kama mambo ni powa hata mapandikizi hawataweza kuwa let down!

AMANDLA!
 
Kitila,
Mzigo wa kwanza na mkubwa zaidi wa CHADEMA ni Mbowe, otherwise kuna vijifurushi vingi tu kwenye hiyo NGO.

napata wakati mgumu kuelewa kama kitila alivyosema sema kwamba chacha alikuwa mzigo, Yaani hapa tena kaibua mambo mengine zaidi kabisa na kuacha watu kwenye maswali.
Ina maana kuna uwezekano chacha wangwe kafukuzwa kwa sababu nyingine tofauti zaidi na hizo zilizotajwa lakini wameamua kuzibinya kwa sababu za kisiasa.
Inawezekana kabisa chacha kafukuzwa kwa ajili ya kuwa mzigo, je hizo sababu walizotoa nazo ?
hapa tunachezewa !
 
Chinga Ukirudi Leta Uthibitisho......! Au Kama Kuna Mwingine Mwenye Uthibitisho Audondoshe Jamvini....na Kama Kuna Mwenye Kukanusha Kwa Ushahidi Naye....twamkaribisha....!

Naomba Kufuta Usemi Wangu........! Mwenye Uthibitisho Simkaribishi....!
kumbe Chinga Ndo Maana Walikufungia....?
Mboweism......?
 
Bw. Wangwe alisema kufukuzwa kwenye wadhifa huo ni mpango mahususi uliopangwa na agenda kubwa iliyo nyuma yake ni uchaguzi mkuu ndani ya chama hicho unaofanyika mwaka huu.

" Mwenyekiti alitamka wazi (wakati wa kikao cha Kamati Kuu) kuwa siwezi wala sitaki kufanya kazi na makamu mimi, najiuzulu au yeye ajiuzulu" alisema Bw. wangwe na kueleza kuwa msimamo huo uliwashinikiza wajumbe wa Kamati Kuu kumng'oa madarakani.

Bw. Wangwe alisema anaumia kutokana na msimamo wake wa kutekeleza matakwa ya wanachama walio wengi kwa kufuatilia kero zao za msingi ndani ya chama ndio maana anaonekana kikwazo kwa viongozi wenzake na kuandaa mikakati ya kumng'oa.

source :http://www.majira.co.tz/kurasa.php?soma=tanzania&habariNamba=7095

hichi ndio chama makini kinavyojiita

wananyonga mchana tena kwa meno duh

someni demokrasia ndani ya ccm. kumbe bwana mkuu ndio mwenye chama na yeye ndio mwenye sauti nani afanye nae kazi na nani awe nje.

chadema povu la soda huja juu mara hilo hunywea sasa ile ahadi tuliokwambieni kuwa 2010 majimbo yote tunarejesha mkatafute la kufaanya.

kazi kuu tunaelekeza pemba huku mshajimaliza wenyewe.

anaekufa kwa sukari usimpe sumu mwache afe huku akijiramba
 
wangapi humu wamesoma signature yangu >? well, hail..........nitarudi !
 
cuf.....cuf.....cuf.....!
ukiona Mwenzako Kanyolewa Wewe Tia Maji Then Usogee Kwa Kinyozi Yuleyule Na Wembe Ule Ule. Wembe Ulionyoa Nccr Raskazone 1990's .....!
 
Nawaangalia tu.. wenye kujua hawasemi, na wasiojua wanasema sana kana kwamba wanajua.
 
Ahaaa..bado nchi hawajakamata yanaanza mambo haya???

Naona mwendo unaweza kuwa kama ule wa NCCR-original na NCCR-Mageuzi!!!

Chadema bado nafasi mnayo ..jirudini na jirekebisheni mapema na kuondoa uroho wa madaraka ndani yenu,wananchi wanawaangalia,CCM inawaangalia,wazalendo tunawaangalia!!
Kama mkishindwa kukiongoza chama ..nchi mtaiweza??? wazalendo tunauliza???

-Wembe
 
Mbona nimeshapost hii jana kwenye ile thread ya Mpaka kieleweke?

Hii inajulikana. Mods please merge na ile thread ya mwanzo
 
...wakifa wafe tuu kama wakishindwa kazi,ndio demokrasi hiyo lakini sio kwamba CCM ni makini kutokana na upinzani weak TZ...CCM ni wezi wakubwa wa kura!
 
Nawaangalia tu.. wenye kujua hawasemi, na wasiojua wanasema sana kana kwamba wanajua.

Mwanakijiji, unajua kwanini hawasemi?. TUMBO. Wanaogopa kumkosea MWENYEKITI na MWENYECHAMA CHAKE.

Muda haukuwa sahihi. Kama uchaguzi wa CHADEMA ni mwaka huu kwanini waanzishe vurugu ndani ya chama wakati wangeweza kusubiri wanachama waseme?!?.

Kwani ni dhambi ukiwa Chadema kuongea na aliyehamia CCM?, huu ni ubinafsi na kutaka kuhodhi madaraka. Kumbuka mimi sisemi kuwa Wangwe hana matatizo. Ila nasisitiza maslahi binafsi yalitangulizwa zaidi kuliko maslahi ya kichama na kinchi.

Asante
 
Back
Top Bottom