CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

Gembe kwa umakini wako nilitumaini uliisha kuelewa niliposema nilikuwepo na kuona kwa macho yangu. Sijui unataka nizungumzie nini? Katika mambo haya partisanship haisaidii sana. Unasema (waraka)...umesema ukweli wotekuhusu Chadema...It is clear you have made up your mind. Sidhani hata nikieleza itasadia nini. Prejudice ni mbaya sana.
Nadhani kwa wanaofuatilia niliisha kueleza kuwa hatuna la kuficha na wala hatuna la kujibu.Ni swala la mtu kushikilia tu mtizamo wake vs majority. Wakati utakapofika tutatoa yote systematically na wote wenye mapenzi mema wakitaka wanaweza kuja kufanya verification. Lakini upotoshaji kama wa RAI kuwa wabunge wajichotea hela... bila hata kupiga simu kujua walilipwa za nini nadhani ni kinyume na journalistic ethics. Lakini ndiyo nchi yetu ilivyo na wengi wetu tunafahamu sababu ndiyo maana, .. ukikutwa unaoga na kichaa kakimbia na nguo zako huhitaji kumkimbiza uchi, kwani wanaokuona hatatambua kichaa ni nani kati yenu...' Kimya chetu kitafsiriwe na wenye kutafakari katika misingi hiyo.

Dr. Slaa Mbunge wangu makini unayefanya kazi nzuri sana ya ku-audit serikali ya CCM kwa undani mzuri sana....

Kuna mambo ambayo mnayafanya ambayo huwa siwaelewi... mnavilea sana vyombo vya habari na kuvisifu sana vinapotoa mambo ya CCM hata kama hawafuati ethics zao... lakini chama tukufu kikiguswa inasemekana kuwa hao waandishi hawana ethics.

Yapo mengi ya kumtukana Mh. Mkapa... yape mengi yaliyoongezewa chumvi ya Kumhusu Mh. Edward Lowassa, Yapo mengi yaliyoongezewa tena mengine yenye harufu ya Ubaguzi kuhusu Mh. Rostam Aziz, haya yote yakiongelewa vyombo vya habari ni Hodari sana... lakini vikigeuka upande mwingine mambo yanabadilika...

In short ni wazi kwamba walionda kwenye uandishi wa habari wengi uwezo wao ni mdogo... mwandishi mzuri ni yule mtaalamu wa upande fulani... udaktari, ukaguzi, uhandisi, etc... akaongezewa namna ya kuandika... kuliko kufundishwa kuandika tu... bila ujuzi wowote.

Wewe ni muumini vizuri... SIMAMENI kiume siku moja museme UKWELI... tujenge nchi... mambo ya waandishi wa Tanzania kila aliyeguswa alishasema... Mh. Rais naye akawapa jina linalowastahili "MAKANJANJA"... kwa hiyo kweli hili hatuhitaji shule tena... tunaelewa...

Lingine... tunajua haki yako ya kutoa mawazo.... inaminywa na kuwa uko Bungeni kwa tiketi ya CHADEMA, hivyo ukikosana na MBOWE... ukafukuzwa kazi yabidi urudi Karutu...tuanze upya... wengine kwa mbali tunaona kwamba wewe na Zitto munayo siri KUBWA... sana... lakini tusubiri..

Tunachoomba... kuweni MAKINI sana... CHADEMA ikifa... itakuwa sawa sawa na Viwanda vya Mwalimu Nyerere... vilivyouwawa wakati ule wa Mh. Ali Hassan Mwinyi... Rais wa Awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Nimekaa na kuwaza ni kwa nini viongozi wa polisi walitaka Mbowe asiende msibani? na alipoenda msibani walimuondoa kwa nguvu? Maana naona labda kulikuwa na mpango wa kusema ndiye aliyesababisha hayo mauaji? na ndio maana kina Mhe Dr. Slaa alisisitiza aende kwenye msiba, kwa sababu asingeonekana kwenye msiba story ndio ingekuwa mbaya zaidi kwamba jamaa kasababisha hii kitu itokee halafu hata hajatokea msibani na sidhani kama kuna mtu yeyote ambaye angeelewa kama Mbowe akisema kwamba alipigiwa simu na polisi kwamba asiende pale. Ni mawazo yangu tuu.
 
Nitarajia ku-staafu muda si mrefu... napenda watu wanaojadili kwa kuweka taifa mbele na kutolala upande mmoja... kitu ambacho hapa naona... hakuna...

Mkuu Kasheshe,

Heshima mbele mkuu, vipi siku hizi mkuu mbona jazba sana? Wewe siku zote ninakuminia kwa kusimama kidete kusimamia hoja zako, sasa iweje tena unataka wote humu tuwe na msimamo mmoja tu mkuu?

Wananchi hapa JF kulalia upande wanaoutaka ni ndio hasa wajibu wenyewe wa kuwepo hapa, na demokrasia hasa makini, au?
 
Jamani naomba msaada. Naombeni wana chadema mjibu hizo hoja moja baada ya nyingine.

Mimi sijaamua kama yaliyoandikwa ni kweli au la. Pia suala la aliyeandika iwe ni Marehemu Wangwe mwenyewe au sio sio la maana hapa. La maana ni kujibu tuhuma hizo.

Mfano: ni kamati au mkutano upi ulioidhinisha matumizi ya pesa anazodai Mbowe au ni wapi na kwa documents zipi aliikopesha chama hela.

Hii ni seriuos allegation, nilitegemea jibu la maana kuhusu hili.

Asanteni
 
Mkuu Kasheshe,

Heshima mbele mkuu, vipi siku hizi mkuu mbona jazba sana? Wewe siku zote ninakuminia kwa kusimama kidete kusimamia hoja zako, sasa iweje tena unataka wote humu tuwe na msimamo mmoja tu mkuu?

Wananchi hapa JF kulalia upande wanaoutaka ni ndio hasa wajibu wenyewe wa kuwepo hapa, na demokrasia hasa makini, au?

kwi kwi kwi...

Jaziba zinapanda kwa kuwa wakati tunajadili mambo hapa kuna watu wanajifanya wako huru kama ulivyo wewe na mimi! lakini kwa matendo yao sio hivyo...

Mimi nina imani nafanya hivi kwa nia njema kwa kuwa binafsi kama CHADEMA ikipoteza hii opportunity ya ku-be-TRUSTED.

Kurudisha ni kazi sana wakuu... kumbuka CUF na Lipumbuka wake...

Nasema na narudia yaliyotekea CHADEMA tukiri tu kwamba tumeteleza... ni uongozi gani huku duniani ambao haufanyi madudu...

Haya ni MADUDU ya CHADEMA tukiri... twende mbele... otherwise... tunaendelea kupoteza kura.
 
Na watuambie wako huru kivipi na nani anawafanya wawe huru

Yaani mkuu unseama behind haya maneno yako ndio kuna definition ya uhuru wa mtu kufikiri na kunena, au?

Una maana mtu kuwa huru ni lazima awe anashinikizwa na mtu mwingine, au nina miss something here?
 
Na watuambie wako huru kivipi na nani anawafanya wawe huru

Gembe nakuaminia sana wewe kwa sababu kuu mbili

i) una Masters
ii) hautumiki kabisa na mtu yoyote yule, uko huru kabisa( ha ha ha ha!)
 
Yaani mkuu unseama behind haya maneno yako ndio kuna definition ya uhuru wa mtu kufikiri na kunena, au?

Una maana mtu kuwa huru ni lazima awe anashinikizwa na mtu mwingine, au nina miss something here?

ndiyo,watu huku huru sababu wanalindwa na katika.Katiba inawafanya wawe huru..

Ila haujajibu swali
 
Gembe kwa umakini wako nilitumaini uliisha kuelewa niliposema nilikuwepo na kuona kwa macho yangu. Sijui unataka nizungumzie nini? Katika mambo haya partisanship haisaidii sana. Unasema (waraka)...umesema ukweli wotekuhusu Chadema...It is clear you have made up your mind. Sidhani hata nikieleza itasadia nini. Prejudice ni mbaya sana.
Nadhani kwa wanaofuatilia niliisha kueleza kuwa hatuna la kuficha na wala hatuna la kujibu.Ni swala la mtu kushikilia tu mtizamo wake vs majority. Wakati utakapofika tutatoa yote systematically na wote wenye mapenzi mema wakitaka wanaweza kuja kufanya verification. Lakini upotoshaji kama wa RAI kuwa wabunge wajichotea hela... bila hata kupiga simu kujua walilipwa za nini nadhani ni kinyume na journalistic ethics. Lakini ndiyo nchi yetu ilivyo na wengi wetu tunafahamu sababu ndiyo maana, .. ukikutwa unaoga na kichaa kakimbia na nguo zako huhitaji kumkimbiza uchi, kwani wanaokuona hatatambua kichaa ni nani kati yenu...' Kimya chetu kitafsiriwe na wenye kutafakari katika misingi hiyo.

Kama ambavyo nilikwisha sema hapo awali CHADEMA wanatafuta mlango wakutokea juu ya hoja ambazo ni kweli kabisa Mh. Wangwe alipania kuzipigania kwa maslahi ya uhai wa chama chake.
Mh.Wilbroad unaaminika sana na kukubalika sana ndani ya chama hicho, inakuwaje tena na wewe umekuwa mzito kiasi hiki? kunani? au ndiyo kusema kuwa mwenzio akinyolewa wewe tia maji?
Ninashauri huo ukimya muuvunje mapema iwezekanavyo kwani hakuna anaye waelewa, mnapika nini wakati majibu ya watu wakweli na wa wazi hayana haja ya kutafutwa.
 
Mkuu Gembe fafanua swali tena sijalielewa vizuri kwamba wewe ni huru kwa sababu unashinikizwa na mtu hapa ndani ya forum au nje ya hii forum?

you know kwamba niko happy kukujibu pale tu nitakapolielewa swali! Ila kwa nyongeza tu ni kwamba mimi ni mtu huru na mawazo yangu ni hurur hata siku moja sijawahi kutumiwa wala kumtumia mtu, msimamo wangu ni solid, unajua hata huko ninakofanya biashara zangu zam kutafuta ugali wangu wa kila siku, ninao-deal nao wamenipachika jina la a Solid Human Being, maana kama alivyosema member mmoja hapa kwangu maisha ni black and white,

hakuna neutral wala in the middle, straight on the point, lakini uhuru wa kutumwa na mtu huo sio uhuru bali ni utumwa, kama mimi nina-fit hiyo definition basi hakuna mtu huru mkuu duniani!

Kumbe uhuru wewe uhuru wako ni wa kutumwa na wengine, kwa hiyo unadhani wote tuko hivyo mkuu? Duh! hoja zingine bwana!
 
Pole sana wanachadema..kazi ipo hapo kujibu hoja na kuwarudishia imani hasa wanachama wenu nchi nzima.
 
Pole sana wanachadema..kazi ipo hapo kujibu hoja na kuwarudishia imani hasa wanachama wenu nchi nzima.
hili ndilo swala ambalo wanatakiwa kulifikiria na kulifanyia kazi,Mie nawashangaa kwa nini hawataki kukaa chini na kujipanga upya ,na haya yote yaliharibiwa na uropokoji,tena hasa yule aliyesema kwamba CHADEMA haijateteleka baada ya kuondoka kwa wangwe.ina maana mlikuwa hamuoni msaada wake??leo kweli nani atawaelewa kama mkisema mnataka kuendelezea yale wangwe aliyoyaacha?

anataka kutuambia walikuwa hawamhitaji?Yes ndiyo tunajua alikuw a akiwakera kama nyie mnavyowakera CCM.Kwa hili CHADEAMA mlikosea na mmetukosesha step kabisa ya kupambana na hawa mafedhuli ila next week nitakuja na Azimio jipya kwa hapa JF..ili ningeomba Mjisafishe na muwaombe msamaha viongozi wenzenu wa CUF,NCCR na TLP
 
Dr Slaa

Safi sana. Haiwezakane hata arobaini ya marehemu haijaisha mkajiingiza kujibu hoja za marehemu. Msiwe kama CCM Spika hajatangaza kiti kuwa wazi, tume haijatoa tarehe tayari wagombea wao wameanza kujitangaza Tarime. Hawajui kabisa kuwa ni kinyume cha sheria ya uchaguzi ambayo inakataza kujitangaza kabla ya wakati

...ndiyohiyo
 
Back
Top Bottom