CHADEMA Lake Zone imepotezwa na Uteuzi wa Dkt. Doto Biteko

Shetani lazima asemwe akiwa kaburini hadi Jehanam! Kama wasukuma wako ni mashetani basi wasubiri waendelee kuandamwa na laana!

Lakini kwa taarifa yako Wasukuma tunaowafahamu sisi ni binadamu na watu wema sana!
 
Hebu waambie CCM waaçhe kutumia Polisi na Usalama wa Taifa kupindisha kura tuone kama watatoboa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unadhani wanao umia ni CHADEMA ama nyie wananchi?
 
Shetani lazima asemwe akiwa kaburini hadi Jehanam! Kama wasukuma wako ni mashetani basi wasubiri waendelee kuandamwa na laana!

Lakini kwa taarifa yako Wasukuma tunaowafahamu sisi ni binadamu na watu wema sana!
Kuna kitu unachotakiwa kukielewa.

Wewe binafsi waweza kuwa muathirika wa utawala wa Magufuli kama alivyofanyiwa Tundu Lisu na ukabakia kumlaani mpaka leo, hilo utabakia nalo na hakuna atakayekulazimisha kumpenda.

Nje ya chuki hizo binafsi, jiulize sasa, waTz walio wengi, waliumizwa na utawala wa Magufuli?

Je waliumizwa kwa mambo gani ama matendo yepi?

Je waTz walio wengi, kweli hawakuridhishwa na utawala wa Magufuli na je walifurahia kifo chake?

Chuki bilafsi haiwezi kubeba mustakabali wa mambo ya ukweli.

Chuki zitabakia kuwa chuki na upendo utabakia kuwa ni upendoni kama maji na mafuta havichangamani.

Na usije kujidanganya hata siku moja kwamba utawala huu unapendwa sana kuliko utawala wa Magufuli hasa kutokana na jinsi watu wengi wa kawaida walivyovurugwa na athari za ufisadi unaoendelea hivi sasa.
 
Ndiyo sababu ni yeye peke yake anaitwa shetani na alipokwenda Jehanam watu walishangilia!
 
Unadhani wanao umia ni CHADEMA ama nyie wananchi?
Mkuu mbona hayo yanaeleweka kuwa raia ndiyo mtaji wa chama chochote.

Kuna makosa ya kiufundi Chadema wanafanya yapasayo kurekebisha ili kiweze kuwa imara.
 
Hakili huna. Hii ni athari ya mazingira unayoishi au elimu duni. Kanda ya ziwa ina mikoa ifuatayo. Kagera, geita, shinyanga, mwanza, simiyu, na mara. Katika mikoa yote 6 ikitokea uchaguzi alafu MUNGU akapewa kazi ya kusimamia na kuhesabu kura, CCM inaweza kubahatisha majimbo machache katika mkoa wa SHYINYANGA na SIMIYU. kwingine kote CCM itagaragazwa saa 3 asubuhi. Na hiyo mikoa ambayo CCM itabahatisha sababu ziko wazi Kwa sisi ambayo tumefanya research tunajua
 
Kanda ya ziwa n wakabila sana ...lkn bwana dotto sio ngosha sema wajnga wanajua n ngosha..... anyway time wl tel
Kanda YaZiwa ni wakabila kvp yaan 😅 mm navojua hao watu wa KandaYaZiwa wangekuwa na ukabila nchi hii isingesimama na kutulia hv ,kwahyo acha porojo za kiduwanzi budder.
 
Tena hapo kwenye mkoa wa Shinyanga itoe Kahama mjini hyo ni Chadema tupu.
 
CHADEMA MSIPOBADILIKA MMEKWISHA[emoji23]
Hizi dua za kuku kumbe bado zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasukuma wenyewe hawataki wahutu,huyu arudi kwao gisenyi
 
Unaijua Kanda ya Ziwa? Punguza kuropoka. Shughulikeni matatizo ya wananchi acheni cheap politics.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…