CHADEMA Makambako huu ni upigaji, hili jengo haliwezi kugharimu Tsh Milioni 80. Kwanini mnaonesha tabia za kipigaji zinazotuchafua?

Wamechanga wao wamefyatua wao wamejenga wao wewe unakuja kulaumu mtandaoni, hata wangesema mil 150 sawa tu hawadaiwi na mtu.
Ufisadi ni CCM tu huko Chadede mmeupa jina jingine.
 
Watu ni wapinzani kwa sababu za njaa,wakipata wanafanya Yale Yale.

Kwa mantiki hiyo ni mjinga pekee ndio anaweza amini eti kuitoa ccm na kuweka wapinzani ndio maisha yake yatabadilika.

Huyu hapa Rais wa Malawi aliyekuwa mpinzani sasa anapendelea ndugu na watoto wake kwenye madaraka.

View attachment 2112687

Unamaanisha ni bora turudi kwenye mfumo wa chama kimoja?
 
Hili jengo hata leo nimeliona..... Ila kwa bei hiyo inatia shaka......
 
Tujifunze kuwa wakweli.

Kapate data kamili ikiwa ni pamoja na picha yenye kuonyesha upeo mzima (full dimension) ya jengo na miundombinu yake halafu mpango wa finishing. Ndipo ulete hoja kamili.

In any case, hiyo ni michango ya wanachama wa jimbo hilo. Sio kodi za wananchi. Kama unaijua mifumo ya utawala ya CHADEMA leta hoja kuhusu mapungufu ya dhahiri uliyoyaona na mapendekezo yako. Short of that, usishangae kujumlishwa na wanapropaganda wa CCM wliojazana hapa na kauli zao maarufu:
  • usimuamini mwanasiasa yeyote
  • vyama vyote wezi tu
  • wako upinzani sababu ya njaa tu
  • achana na vyama, uzalendo kwa taifa tu
  • chama ni CCM tu

Kifupi CHADEMA inawapa hard time sana wanaopigia debe ufisadi wa rasilimali za taifa na kodi za wananchi kupitia chama dola - CCM. Are you with them?
 
Nimelazimika kuja hapa baada ya kuona huo upotoshwaji hiyo ni story ya uwongo
Lengo ni kuchafua chama tu tutatolea ufafanuzi lkn pia picha hiyo inayo sambaa nikakipande ka veranda ya nyuma
 
Kuna muda huwa nachukia sana mambo ya kipumbavu haya unayofanya hapa hilo jengo linajengwa kwa michango ya watu wa makambako ww upo shinynga unasema ni wizi umeshafika hapo ukaomba mchanganuo wa matumizi ili ujiridhishe?
Wizi haukubaliki popote pale, huu ni wizi wa waziwazi, na inaonekana wewe ni mshirika wa wizi, unataka kunizuia nisiongee, ntasema kweli daima kama katiba ya Chadema inavyonielekeza
 
Nimelazimika kuja hapa baada ya kuona huo upotoshwaji hiyo ni story ya uwongo
Lengo ni kuchafua chama tu tutatolea ufafanuzi lkn pia picha hiyo inayo sambaa nikakipande ka veranda ya nyuma
Ufafanuzi wa nini wakati wizi unajionyeshà? Mnaenda ku edit picha? Hii haikibaliki, lazima muwajibike
 
Kapate data kamili ikiwa ni pamoja na picha yenye kuonyesha upeo mzima (full dimension) ya jengo na miundombinu yake halafu mpango wa finishing. Ndipo ulete hoja kamili.

In any case, hiyo ni michango ya wanachama wa jimbo hilo. Sio kodi za wananchi. Kama unaijua mifumo ya utawala ya CHADEMA leta hoja kuhusu mapungufu ya dhahiri uliyoyaona na mapendekezo yako. Short of that, usishangae kujumlishwa na wanapropaganda wa CCM wliojazana hapa na kauli zao maarufu:
  • usimuamini mwanasiasa yeyote
  • vyama vyote wezi tu
  • wako upinzani sababu ya njaa tu
  • achana na vyama, uzalendo kwa taifa tu
  • chama ni CCM tu

Kifupi CHADEMA inawapa hard time sana wanaopigia debe ufisadi wa rasilimali za taifa na kodi za wananchi kupitia chama dola - CCM. Are you with them?
Hizo ni pesa za wananchi, zimeliwa mchana kweupe
 
Shida sio kuitoa ccm na kuweka chama kingine bali tatizo ni mfumo mbovu unaotumika kuendesha nchi ambayo inatokana na katiba dhaifu isiyoendana na mahitaji ya sasa katika Taifa letu. Na ccm kwa kutambua umuhimu wa mfumo huo mbovu na katiba dhaifu kwa manufaa yao wala hawataki kusikia madai ya kuboresha mfumo wetu kwa kupata katiba mpya yenye nguzo imara na wajibishi kwa watawala.
 
Kuna muda huwa nachukia sana mambo ya kipumbavu haya unayofanya hapa hilo jengo linajengwa kwa michango ya watu wa makambako ww upo shinynga unasema ni wizi umeshafika hapo ukaomba mchanganuo wa matumizi ili ujiridhishe?
Tupe huo mchanganuo.
 
Wamechanga wao wamefyatua wao wamejenga wao wewe unakuja kulaumu mtandaoni, hata wangesema mil 150 sawa tu hawadaiwi na mtu.
Jitofoutishe kujibu hoja na wenzenu, fikiri ndo mmepewa uongozi utajibu hivi,
La sivyo hamna haja ya kohoji fedha za wananchi za serikali ya chama tawala
 
Back
Top Bottom