Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Ufisadi ni CCM tu huko Chadede mmeupa jina jingine.Wamechanga wao wamefyatua wao wamejenga wao wewe unakuja kulaumu mtandaoni, hata wangesema mil 150 sawa tu hawadaiwi na mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufisadi ni CCM tu huko Chadede mmeupa jina jingine.Wamechanga wao wamefyatua wao wamejenga wao wewe unakuja kulaumu mtandaoni, hata wangesema mil 150 sawa tu hawadaiwi na mtu.
Kwahio mlivyo wapuuzi mkapiga picha vibaya Ili ionekane kama kibanda sio?? Acheni uboya nyie, pumbavuTujifunze kuwa wakweli.
Kama ni hivi,
Watu ni wapinzani kwa sababu za njaa,wakipata wanafanya Yale Yale.
Kwa mantiki hiyo ni mjinga pekee ndio anaweza amini eti kuitoa ccm na kuweka wapinzani ndio maisha yake yatabadilika.
Huyu hapa Rais wa Malawi aliyekuwa mpinzani sasa anapendelea ndugu na watoto wake kwenye madaraka.
View attachment 2112687
Tujifunze kuwa wakweli.
Wizi haukubaliki popote pale, huu ni wizi wa waziwazi, na inaonekana wewe ni mshirika wa wizi, unataka kunizuia nisiongee, ntasema kweli daima kama katiba ya Chadema inavyonielekezaKuna muda huwa nachukia sana mambo ya kipumbavu haya unayofanya hapa hilo jengo linajengwa kwa michango ya watu wa makambako ww upo shinynga unasema ni wizi umeshafika hapo ukaomba mchanganuo wa matumizi ili ujiridhishe?
Ufafanuzi wa nini wakati wizi unajionyeshà? Mnaenda ku edit picha? Hii haikibaliki, lazima muwajibikeNimelazimika kuja hapa baada ya kuona huo upotoshwaji hiyo ni story ya uwongo
Lengo ni kuchafua chama tu tutatolea ufafanuzi lkn pia picha hiyo inayo sambaa nikakipande ka veranda ya nyuma
Ndio kwani kuna faida gani kuweka wezi wengine madarakani?Unamaanisha ni bora turudi kwenye mfumo wa chama kimoja?
Hizo ni pesa za wananchi, zimeliwa mchana kweupeKapate data kamili ikiwa ni pamoja na picha yenye kuonyesha upeo mzima (full dimension) ya jengo na miundombinu yake halafu mpango wa finishing. Ndipo ulete hoja kamili.
In any case, hiyo ni michango ya wanachama wa jimbo hilo. Sio kodi za wananchi. Kama unaijua mifumo ya utawala ya CHADEMA leta hoja kuhusu mapungufu ya dhahiri uliyoyaona na mapendekezo yako. Short of that, usishangae kujumlishwa na wanapropaganda wa CCM wliojazana hapa na kauli zao maarufu:
- usimuamini mwanasiasa yeyote
- vyama vyote wezi tu
- wako upinzani sababu ya njaa tu
- achana na vyama, uzalendo kwa taifa tu
- chama ni CCM tu
Kifupi CHADEMA inawapa hard time sana wanaopigia debe ufisadi wa rasilimali za taifa na kodi za wananchi kupitia chama dola - CCM. Are you with them?
Wizi wa nini uhambiwa habari ni fake picha sio halisi wizi gani sasaUfafanuzi wa nini wakati wizi unajionyeshà? Mnaenda ku edit picha? Hii haikibaliki, lazima muwajibike
Chadema tuache ubishi,huo ni wizi,Chama chetu kina weziWizi wa nini uhambiwa habari ni fake picha sio halisi wizi gani sasa
Endeleeni kuamini hizo story sisi tutaendelea na ujenziChadema tuache ubishi,huo ni wizi,Chama chetu kina wezi
Mbona uliipiga kimagumashi?lengo lilikuwa nini?Ndio mil 80?
Tupe huo mchanganuo.Kuna muda huwa nachukia sana mambo ya kipumbavu haya unayofanya hapa hilo jengo linajengwa kwa michango ya watu wa makambako ww upo shinynga unasema ni wizi umeshafika hapo ukaomba mchanganuo wa matumizi ili ujiridhishe?
Mmewauliza maji yakujengea yalikuwa yanatoka wapi,gharama za ujenzi hutegemea na sehemu.Wewe umechangia kiasi gani
Jitofoutishe kujibu hoja na wenzenu, fikiri ndo mmepewa uongozi utajibu hivi,Wamechanga wao wamefyatua wao wamejenga wao wewe unakuja kulaumu mtandaoni, hata wangesema mil 150 sawa tu hawadaiwi na mtu.
Thank but too muchHii ilikuchafua au haikukuchafua?🐒🐒🐒
View attachment 2112570