CHADEMA Makambako huu ni upigaji, hili jengo haliwezi kugharimu Tsh Milioni 80. Kwanini mnaonesha tabia za kipigaji zinazotuchafua?

CHADEMA Makambako huu ni upigaji, hili jengo haliwezi kugharimu Tsh Milioni 80. Kwanini mnaonesha tabia za kipigaji zinazotuchafua?

Hii nadhani itakuwa kama vile wanavyosemaga mchezaji wa simba analipwa milion 40 kwa mwezi kumbe ukweli tunaujua sisi viongozi wa timu.[emoji23][emoji23]
 
da yaani chadema sijui wataacha lini wizi hapo milioni 120 zinatumika kufanya nini? lakini ni kawaidayao mbowe alikula milioni mia moja alipewa na sabodo kujenga ofisi ya chama matokeo yake mpaka sasa hawana ofisi nzuri makao makuu
We jamaa una uhakika hizo gharama zilizotajwa ndio zilizotumika?
 
Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.

View attachment 2112548

Acha unafiki wewe shetani. Unapiga picha sehemu ndogo ya Jengo Ili ujifurahishe. Let's picha ya Jengo lote acha unafiki. Wewe ndio unapiga kelele Kila siku kuhusu ujenzi wa ofisi. Leo CHADEMA wanajenga ofisi unaleta uongo wako hapa.
 
Sasa ndani ya Chadema watu wanajipigia Hela, hii nyumba ya milioni 80, hapa bado hawajakamata nchiView attachment 2112894View attachment 2112894
Ni
Wachaga wameshakula tayari, wezi sana
Acha roho mbaya na chiki, hata hujui wachaga wako wapi Kwa chuki na ubaguzi unawasingizia, pia nikuulize, nyumba like kwenu mnaweza kujenga baharini, au hewani. Nijuavyo Ili ujenge nyumba lazima uwe na Pesa,material, na wapi utajenga. Chuki isikugeuze kipofu.
 
Utakuwa wizi day light, hiyo Nyumba mpaka hapo haizidi 40m! Sasa tupiamo hako Ka ushahidi cha hayo maneno ya 80m
Hapo si tofali, cement, mchanga na nondo?

Bado 40m haiwezi kufika hapo. Gharama za ufundi mpaka kufika hapo haiwezi kuzidi 3.5m. Sasa material tajwa hapo juu ndo yagharimu milioni 36? Hapana mkuu.

Tofali fanya 3,000 ambayo ni sawa na 3m.
Cement fanya 100, ni kama 2.5m
Nondo na mchanga hapo bado kabisa haifiki hata 10m pamoja na tofali na cement.

20m ndo mbao na bati na gharama ya kupaua? Kupaua mafundi 1.5m mpaka 2m.

Kwa 40m bado nakataa.
 
Sahihi, kiwanja wamepata bure au wamenunua?
Gharama ya ujenzi, hapo ni nje ya eneo, kumbuka pia mikoani maeneo sio gharama kiviiile, walau ingekuwa Arusha hivi tungetilia mawazo ktk eneo.

Licha ya vifaa kupanda bei, 80m sio mchezo ktk ujenzi mkuu.
 
Kwa hapa picha yake inaonekana vizuri, kwa ukubwa huu nakubaliana kabisa na gharama yake [emoji123][emoji123][emoji3577][emoji3577]
Umewahi kujenga? Achana na kujenga, umewahi kusimamia ujenzi?
 
Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.

View attachment 2112548
This is very low, hoja yako imekaa kipashukuna sana kuliko uhalisia. Tuletee ramani ya jengo lote, weka view zote na the who plan. Weka kiwanja kimepatikana au vinauzwaje maeneo hayo. Unajuaje pengine wana undergrounds hapo chini!? Acha kukurupuka
 
Nyumba hiyo iwe na gharama ya TZS 80Mn!? Sidhani, labda sababu iwe ni kutaka kuonyesha majigambo kwa mtani.
Umewahi kujenga Nyumba yako? au unaishi kwenye za kupanga kisha unaongea ujinga .... unajua bei ya Vifaa vya ujenzi? unajua hilo jengo litajitahi finishing wabongo mko na ujinga mwingi sana! unashindwa kuhoji tozo yako inatumika kubambakia watu kesi unatoa povu kwa Hela ambayo hujatoa hata mia jinga kabisa
 
Hata hivyo watakuwa ni mamluki ndani ya chama kwa kujenga jengo hilo kubwa hata kuzidi ofisi za makao makuu ambayo ni nyumba ya kupangisha,,, ni kama kumdhalilisha mwenykiti Mbowe kwa miaka zaidi ya 20 hawana ofisi ngoja atoke atanza nao tu.
 
Back
Top Bottom