greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Hii nadhani itakuwa kama vile wanavyosemaga mchezaji wa simba analipwa milion 40 kwa mwezi kumbe ukweli tunaujua sisi viongozi wa timu.[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifunze kujibu hoja , ukipewa uwaziri utajibu hivyo au mkurugenzi akikujibu hivyo utamwelewaWewe umechangia kiasi gani
Jifunze kujibu hoja , ukipewa uwaziri utajibu hivyo au mkurugenzi akikujibu hivyo utamwelewaWewe umechangia kiasi gani
We jamaa una uhakika hizo gharama zilizotajwa ndio zilizotumika?da yaani chadema sijui wataacha lini wizi hapo milioni 120 zinatumika kufanya nini? lakini ni kawaidayao mbowe alikula milioni mia moja alipewa na sabodo kujenga ofisi ya chama matokeo yake mpaka sasa hawana ofisi nzuri makao makuu
Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
View attachment 2112548
Naona tayari unaanza kutoa ute.
CDM kwa Sasa haina uongozi,inaenda kama popo
Mimi Chadema, lakini napinga wizi, nashauri tubadilo katiba yetu, Ina mapungufu maana tumekomaa na katiba ya nchi tunaacha mambo mazito
NiSasa ndani ya Chadema watu wanajipigia Hela, hii nyumba ya milioni 80, hapa bado hawajakamata nchiView attachment 2112894View attachment 2112894
Acha roho mbaya na chiki, hata hujui wachaga wako wapi Kwa chuki na ubaguzi unawasingizia, pia nikuulize, nyumba like kwenu mnaweza kujenga baharini, au hewani. Nijuavyo Ili ujenge nyumba lazima uwe na Pesa,material, na wapi utajenga. Chuki isikugeuze kipofu.Wachaga wameshakula tayari, wezi sana
Mpaka hapo 80mil.ha ha ha ,mbuzi kakata kamba aise,Ma bavicha wamevimbiwa !! bado 53mil .ha ha .
Hapo si tofali, cement, mchanga na nondo?Utakuwa wizi day light, hiyo Nyumba mpaka hapo haizidi 40m! Sasa tupiamo hako Ka ushahidi cha hayo maneno ya 80m
Nyumba haina plasta, haina rough floor. Bado hata 40m ni nyingi.
Gharama ya ujenzi, hapo ni nje ya eneo, kumbuka pia mikoani maeneo sio gharama kiviiile, walau ingekuwa Arusha hivi tungetilia mawazo ktk eneo.Sahihi, kiwanja wamepata bure au wamenunua?
Umewahi kujenga? Achana na kujenga, umewahi kusimamia ujenzi?Kwa hapa picha yake inaonekana vizuri, kwa ukubwa huu nakubaliana kabisa na gharama yake [emoji123][emoji123][emoji3577][emoji3577]
This is very low, hoja yako imekaa kipashukuna sana kuliko uhalisia. Tuletee ramani ya jengo lote, weka view zote na the who plan. Weka kiwanja kimepatikana au vinauzwaje maeneo hayo. Unajuaje pengine wana undergrounds hapo chini!? Acha kukurupukaMwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
View attachment 2112548
Umewahi kujenga Nyumba yako? au unaishi kwenye za kupanga kisha unaongea ujinga .... unajua bei ya Vifaa vya ujenzi? unajua hilo jengo litajitahi finishing wabongo mko na ujinga mwingi sana! unashindwa kuhoji tozo yako inatumika kubambakia watu kesi unatoa povu kwa Hela ambayo hujatoa hata mia jinga kabisaNyumba hiyo iwe na gharama ya TZS 80Mn!? Sidhani, labda sababu iwe ni kutaka kuonyesha majigambo kwa mtani.
Sasa si muende mahakamani?Umewahi kujenga? Achana na kujenga, umewahi kusimamia ujenzi?