Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kazungumzia michango?Wewe umechangia kiasi gani
Halafu wanataka kuongoza nchi! Kwa majibu yao kuwa zikiliwa zinatuhusu Nini kweli nyumbu wapewe nchi kweli?yaani chadema mnatia aibuwenzo huko wanasema wamechanga wao hata zikiliwa mna akili kweli nyie nyumbu?
Muongo ni wewe ambae umechukua picha isiyoonyesha ukubwa wa jengo halafu ukajifanya haukusoma kuwa hizo pesa zimetumika kujenga zaidi ya ofisi moja.Tujifunze kuwa wakweli.
Aibu yetu hii.Muongo ni wewe ambae umechukua picha isiyoonyesha ukubwa wa jengo halafu ukajifanya haukusoma kuwa hizo pesa zimetumika kujenga zaidi ya ofisi moja.
Wakati mwingine uwe na aibu "Kamanda" uliyechoka.
Amandla...
Uko peke yako hapo. Madongo uliyotupa hayakunasa.Aibu yetu hii.
Cha msingi naona waje watufafanulie hizo gharama kuondoa sintofahamuNyumba haina plasta, haina rough floor. Bado hata 40m ni nyingi.
Power!!!!!&!’nPipooooooziiii !!!
Utakuwa wizi day light, hiyo Nyumba mpaka hapo haizidi 40m! Sasa tupiamo hako Ka ushahidi cha hayo maneno ya 80m
Wizi haukubaliki popote pale, huu ni wizi wa waziwazi, na inaonekana wewe ni mshirika wa wizi, unataka kunizuia nisiongee, ntasema kweli daima kama katiba ya Chadema inavyonielekeza
... bonge la ofisi; hata hizo 80 m/= ni kidogo kwa kweli. Kamanda Asiyechoka, umewahi hata kujenga choo wewe?
Hahahahaha sasa hawa wakipewa nchi mwezi tu wanagawana kila kitu.Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
View attachment 2112548
Wenye uwezo wa kugeuza dhambi kuwa baraka mmeshaanza kazi ya spinn sasaWamechanga wao wamefyatua wao wamejenga wao wewe unakuja kulaumu mtandaoni, hata wangesema mil 150 sawa tu hawadaiwi na mtu.
Amesema ujenzi.Sahihi, kiwanja wamepata bure au wamenunua?
Jiulize kiwanja kilipatikana Kwa bei gani ?;then nenda mbele kuhusu ujenzi:Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
View attachment 2112548