CHADEMA Makambako huu ni upigaji, hili jengo haliwezi kugharimu Tsh Milioni 80. Kwanini mnaonesha tabia za kipigaji zinazotuchafua?

CHADEMA Makambako huu ni upigaji, hili jengo haliwezi kugharimu Tsh Milioni 80. Kwanini mnaonesha tabia za kipigaji zinazotuchafua?

Muongo ni wewe ambae umechukua picha isiyoonyesha ukubwa wa jengo halafu ukajifanya haukusoma kuwa hizo pesa zimetumika kujenga zaidi ya ofisi moja.
Wakati mwingine uwe na aibu "Kamanda" uliyechoka.

Amandla...
Aibu yetu hii.
 
Unawzaje kubisha kwamba siyo 80mil kama hauna udhinitisho wa sqm footage za jengo lote? Au vitu vilivyowekwa ndani ya jengo?
 
Wizi haukubaliki popote pale, huu ni wizi wa waziwazi, na inaonekana wewe ni mshirika wa wizi, unataka kunizuia nisiongee, ntasema kweli daima kama katiba ya Chadema inavyonielekeza

Ona hili taga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.

View attachment 2112548
Hahahahaha sasa hawa wakipewa nchi mwezi tu wanagawana kila kitu.

Walivyokuwa mapunguani hawataki kuhojiwa 😅
 
Wamechanga wao wamefyatua wao wamejenga wao wewe unakuja kulaumu mtandaoni, hata wangesema mil 150 sawa tu hawadaiwi na mtu.
Wenye uwezo wa kugeuza dhambi kuwa baraka mmeshaanza kazi ya spinn sasa
 
Sahihi, kiwanja wamepata bure au wamenunua?
Amesema ujenzi.
Acha uzwazwa wewe. Umeona wapi gharama za kiwanja kujumuishwa kwenye ujenzi?

Tunaanza kuwamulika majizi wakubwa nyie
 
Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.

View attachment 2112548
Jiulize kiwanja kilipatikana Kwa bei gani ?;then nenda mbele kuhusu ujenzi:
 
Ukifanya evaluation mpaka hapo imetumika 19m - 21m , 80m inamaliza hiyo ofisi
 
Kama ni hii mpaka hapa itakuwa imetumia Mil 50 - 60.. Hapo haujajua kiwanja kimenunuliwa bei gani..

Na pia mkumbuke vifaa vyote vya ujenzi vimepanda sana bei...
JamiiForums1084246995.jpg
 
Back
Top Bottom