PostGE2025 CHADEMA: Matokeo ya uchaguzi mkuu 2025 yafutwe pamoja na Tume Uhuru ya Uchaguzi INEC

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
John Heche Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kuwa chama hicho hakiutambui uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 na matokeo yake ni batili hivyo chama hicho kimetaka uchaguzi huo ufutwe.

Aidha Heche amesema kuwa Tume ya Uchaguzi haina sifa ya kuwa Tume Huru ya uchaguzi na kwamba tume hiyo ifutwe.
 
Unafutaje kitu batili na fake wakati hakipo na hakitambuliki popote?

Ilitosha aseme Tufanye uchaguzi ambao Uliyeyuka October 29, 2025.
 
John Heche Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kuwa chama hicho hakiutambui uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 na matokeo yake ni batili hivyo chama hicho kimetaka uchaguzi huo ufutwe.

Aidha Heche amesema kuwa Tume ya Uchaguzi haina sifa ya kuwa Tume Huru ya uchaguzi na kwamba tume hiyo ifutwe.

Ila Mwenyekiti wa Time Huru ya Uchaguzi huko alipo tumuombee masikini, hakujua kwamba amebebeshwa mzigo mzito ..wanaweza watapita nae maana hata Warioba na Butiku walivyoomba appointment nae aliwavimbia Hawa wazee...akidai yupo safarini
 
John Heche Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kuwa chama hicho hakiutambui uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 na matokeo yake ni batili hivyo chama hicho kimetaka uchaguzi huo ufutwe.

Aidha Heche amesema kuwa Tume ya Uchaguzi haina sifa ya kuwa Tume Huru ya uchaguzi na kwamba tume hiyo ifutwe.
Ndoto za mchana.
 
Back
Top Bottom